and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,304
- 39,846
We huenda hujaelewa kinachoendelea, hamna mjomba wala shangazi, kuna jibaba linakatikia kiuno sahv huko, subiri utaambiwa bibi kafariki anaenda kukaa mwez msibani ila we usiende mtumie tu mchango wa msiba...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakuu inakuaje Mke anathamini na kusikiliza ndugu zake kuliko mumewe? Mfano, nilihamishiwa kikazi Namanga miaka 5 iliyopita (Mke akabaki Dar lakini Mke hajawahi kuja kunitembelea hata mara 1 japo mm najitahid kila mwezi naenda kusalimia Dar. Nikiuliza anadai yupo bize. La ajabu mara kadhaa anasafiri kwenda Mwanza kumuuguza mjomba (mwenye Mke na watoto). Nimeduwaa, nimeamua kuwa mpole kwa muda ili kupisha hasira hii
Mara kadhaa nimeacha nauli na wakati wa Pasaka nilikata mpaka tiketi ya fastjet atue KIA kisha apande shuttle mpaka Arusha mjini baadae Namanga. Pesa ile ilienda bure na hakuja.Vp mkuu ushawahi mtumia nauli na bado ikawa ngumu kwake kuja kukuona
Acha Tumsaidie Vijana WenzieMiaka mitano unaacha mwanamke mjini na wala hajigusi kuja kukusalimia ndo unatafuta ushauri saa hizi? Kunae mwenzie huku mjini anammalizia shida zake. Kalagabaho
Msaidieni mwaya shemeji yenuAcha Tumsaidie Vijana Wenzie