kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,147
- 2,746
mambo jf?
naomba kuwauliza,mke wangu ni mwajiriwa kwenye bank flani,amefikia level ya kuwa branch manager,so somehow yuko busy kiaiana.ofcoz ndoa yetu haina mgogoro wowote mpaka sasa as tunaheshimiana vizuri tu,ila sasa limeibuka tatizo la mke kumuachia housegal na mtoto wa dada yake majukumu yote ya nyumbani,mfano last two weeks nilirudi home nikamkuta mtoto wa dada yake anafua boxa zangu,sikujiskia vyema kwa kweli, leo tena nimerudi nyumbani nimemuona huyo mtoto wa dada yake anafua chu.pi za wife,nimeshindwa kuelewa hii ni hali ya kawaida au ni nini,au ndo mambo ya kupandishwa cheo hayo ndio yanamfanya mpaka anasahau majukumu yake?
Naombeni ushauri,hili ni jamabo la kawaida kweli?