Mke kazidi mizaha

duuu asa km ulivo hapo pichani mwakwetu ntaanzia wapi mie kukuudhi???......ukiona nimekujibu shit! Ujue najifanya tu...ukisema tu naondoka roho ni pwaa.tumbo la kuhara.....unatikisa na mie natikisa huku lkn ke mnatuweza sana.
Hizi ni picha tuu mkuu. Ila hata hyo pichani anapigwa matukio ya kutosha
 
Mkuu nadhani wewe ndo mwenye matatizo! Sasa kwa mfano hapo ulichokasirika mpaka kwenda kukaa barazani ni nini?
Mbona unacomplicate sana maisha? Kwa kweli kama mambo kama haya ndo ulienda kushtaki ukweni hakika walikushangaa sana!
 
Mmeshaishi miaka 10, nafikiri mnajuana vya kutosha. Kama ni mzaha, nafikiri kweli ana mzaha, kama hukumjua tangu mkiwa shule, hiyo imekula kwako. Endeleeni kuishi na kulea watoto wenu, rekebishaneni kwa upole. Ila kwa wengine, huo mfano uliotoa, si sababu na wala si tatizo la kupelekea kumuacha mke. Kama unahitaji mapumziko kidogo, jipe muda uende Kijijini au sehemu tofauti update kubadili mazingira, na maisha yaendelee.
 
Kwanza utasalije peke yako mkuu yeye akiwa anapanga nguo?

Japo kilichofanyika (utani) kwangu siyo issue lakini inaonyesha kuna vitu wewe mwenyewe umeviendekeza.
Hili neno! Familia huomba, husali pamoja, sio na mke tu, bali hata na watoto.
Nafikiri kujikweza, na dharau za jamaa ndio tatizo.
Mambo ya elimu, kipato si kigezo cha kutaka usujudiwe na mkeo. Mkeo ni mwema tu, ila kama unataka umtafutie sababu hivi! Utakuja juta!
 
Huyo Ni mtu wa mizaa,sioni Kama Kuna tatizo mkuu,

ndio mapenzi yalivyo sometimes lazima mtaniane kidogo!
 
Mkuu nadhani wewe ndo mwenye matatizo! Sasa kwa mfano hapo ulichokasirika mpaka kwenda kukaa barazani ni nini?
Mbona unacomplicate sana maisha? Kwa kweli kama mambo kama haya ndo ulienda kushtaki ukweni hakika walikushangaa sana!
Jamaa inaonekana Ni mtu wakupenda kususa Susa, na mwanamke kamshajua
 
Kunaujinga jinga unafanya mtaani au nyumbani ambao mkeo hapendi na anaona kabisa kufumba macho kwako na kusali Kila ulalapo na uamkapo ni unafiki tu, badili mienendo Yako na jitahidi kuwa flexible.
Duh!
 
Tatizo sio mke wako tatizo ni wewe kushindwa kumatch na sense of humor ya mkeo. Mkeo ni mcheshi sana af we unaonekana upo serious mkuu.
 
Utani Hadi kwenye Sala?! Anyway.. nenda naye taratibu. Mwanamke anapaswa kulelewa hata Kama Ana miaka 80. Hata Kama mna miaka 10 pamoja Ukileta ubabe atakuacha amtafute anayependa utani.
Hapo kwenye sala akikutania unacheka unamwambia acha bas masihara mi nasali, na ye atacheka af mambo yanaisha hivyo.
 
Duuuh basi amekuzoea kama chupi chupili huyoo


Sema kiboko ya mwanamke na mwanamke mwenzie...nadhan umenielewa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…