Mke kazidi mizaha

Shida inaanzia hapo wewe kutompiga japovibao kadhaa. Kuna watu mpaka nguvu itumike ndio wanaelewa. Mwanamke kuna muda mwenyewe anamiss kupigwa, usimnyime kibao mke wako
😂😂Kibao Tena
 
Tatizo uko serious sana punguza
 
nPole sana mkuu! Yawezekana mkeo bado haujamwambi na akakuelewa vizuri kwamba nini hukipendi na nini unakitaka!
Yaani hujaexpose sawasawa misimamo yako na kumfanya akufahamu sawasawa , ninachokiona ni kama vile kwa vile kuna mambo mengi amekuwa anakufanyia unakerwa lakini, humkemei, unamvumilia tu! Katika mazingira hayo unawezajikuta unamzoweza mtu kukufanyia mambo ambayo huyapendi, lakini akawa hajuwi kama huyapendi!
Kwa hiyo kama kweli unayachukia hayo matendo yake mweleze kinaga ubaga na shikilia msimamo bila kucheka nae!
Vinginevyo inabidi uchaguwe kuendelea kujifanya mjinga ili ndoa iendelee kuwa na amani!
 
Acha gubu kwa mambo madogo kama hayo,pia unaonekana una matatizo na mkeo anakuvumilia embu na wewe mvumilie.
 
Mimi ni mwanaume ninayependa masihara mengi. Nahisi mimi na mkeo tungeendana sana. Maisha yangekuwa ya furaha muda wote, kama mimi na mke wangu.
Kwa kuwa mimi nina kanuni mbili.

Nafanya jambo la seriously kwa njia ya masihara. Na nipo seriously kufanya masihara.
 
Nionacho ni kwamba mmeoana watu msioendana tabia...

Binafsi utani hauwezi nifanya niwe na gadhabu, huku najua kabisa huo ni utani tu...
 
Akiomba likizo mpeleke kwao likizo yote mkae mbalimbali na usiwe unaongea nae mara kwa mara akirudi kuna kitu atabadrika. Hakuna kitu kinavunja ndoa kama Mazoea. Apo kinachokucost ni Mazoea. Miaka 10 anaona we nayeye ni kama sawa tu.
 
Asante sana kwa wazo hili, ila nimejitahidi sana kumueleza hili jambo kwa namna tofauti lakini bado, naweza akachange kwa muda ila baadae anarudia yaleyale.
 
 
Nawasalimu.

Mnisamehe kwa kutokuwa mwandishi mzuri.
mmmmmm Mimi naona haihitaji marekebisho yoyote, kwani unamke mzur sana tena anaishi na wewe kirafiki tena kimahusiano safi kabisaaa

Tatizo lipo kwako. Your a seriously people. Unataka na yeye awe serious kwenye kila kitu kama wewe. Punguza hicho kilichopo kwenye kichwa/moyo wako, utamfurahia mke wako

Akikwambia acha kusali uongo mwambie je, yupo bora mimi ninayesali uongo na wewe ambaye hujasali hahahaha...... kuja hapa nikunyandue ndio ushukuru kumpat mme mcha Mungu hahahahaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…