Mke kazidi mizaha

Angenisubiri kwanza nimalize afu aseme ni uongo wala nisingeumia ila nipo katikati ya ibada mtu anasema nasali uongo.

Sisi wote ni wa dini moja
Aaah mkuu mambo madogo hayo mbona?? sababu hapo unamuita unamkanya alichokifanya kulingana na imani yako na kumsisitiza aongeze hofu na Mungu na sio kumpiga au kununa.......... uzuri ni dini moja atakuelewa kirahisi mkuu.
 
Experience yako na wanawake ni mbovu sana, mwanamke kama mtt ukimchekea nae anazidi kucheka na jamaa ashasema hapendezwi na tabia hiyo so unataka mwanamke aendelee kumletea masiara jamaa!??
 
Mkuu nadhani wewe ndo mwenye matatizo! Sasa kwa mfano hapo ulichokasirika mpaka kwenda kukaa barazani ni nini?
Mbona unacomplicate sana maisha? Kwa kweli kama mambo kama haya ndo ulienda kushtaki ukweni hakika walikushangaa sana!
Kuna kitu kimoja tumeshindwa elewa kizazi cha sasa cha kiume, tunataka tuishi maisha yale ya wazazi wetu. Ukifika home house inakuwa kimya kila mtoto anatafuta chaka lake, mke anapokea kifulushi, anaenda kukuandalia maji ya moto. Anasubiri kdg anakuandalia chakula.nk. kizazi hiki cha kike hakiishi zama zile tunazotaka sie tuliyoyaona kwa wazazi wetu, wake wanataka mpige story mcheke na utani kibao kama marafiki, kingine wazazi wetu wa kike 80% walikiwa wamama wa nyumbani so maandalizi mengi kwa waume zao yalikuwa easy sasa hawa nao wantoka kazini kwa mabosi zao nao wana stresd zao, home tu kwa waume zao ndio wanaoata amani. Sasa sie tunakutana kituo cha basi tumependana mara paaap mimba isiwe shida unaoa nk...Kitchen party sio mafunzo ni sehemu ya sherehe na kuenda kukusanya vyombo maana nae aliwachangia wenzake sio swhwmu ya mafunzo ya ndoa ya pale yanaachwa palepale. Vijana wa kiume wa sasa tukiwa seriously sana na hizi ndoa kama wababa wa zamani hatuboi, tutwapiga makofi tutauwa nasie kunyongwa mpaka kufa...wa leo wanafanyakazi nao wanajiweza na majukumu kusaidiana....tusiwe rigid sana...ukiona haelewi mtoe out mpe raha alafu mwelezi hii kitu sijaipenda...kizazi hiki cha kike hakitaki ukauzu sana tutaishia kupigiwa kuwa mkali when necessary and be humble all the time...jamaa kapata mke wa masihara soul mate analia lia tu.
 
Experience yangu ni mbovu kwako sio kwangu na family yangu. Naishi poa hatuna mikwaruzano ya kindezi Sasa wewe na mwenzio mleta Uzi na experience yenu isiyo mbovu endeleeni kulia Lia kwenye mitandao. Endeleeni kuishi na familia zenu kama kwenye jela au Kambi ya jeshi.
Experience yako na wanawake ni mbovu sana, mwanamke kama mtt ukimchekea nae anazidi kucheka na jamaa ashasema hapendezwi na tabia hiyo so unataka mwanamke aendelee kumletea masiara jamaa!??
 
Sasa miaka 10 yote hujazoea tabia hiyo, mapungufu yake hujayazoea kwa miaka yote 10?
Don't be too hard , inaonekana unafatilia vitu vidogo vidogo sana, sasa hilo jambo ndo la kwenda kumsema kwao?? Ulijishushia heshima kabisa
 
Kunywa bia ujinga ukutoke.
 
Shida inaanzia hapo wewe kutompiga japovibao kadhaa. Kuna watu mpaka nguvu itumike ndio wanaelewa. Mwanamke kuna muda mwenyewe anamiss kupigwa, usimnyime kibao mke wako
Ushawahi kumpiga mke wako mara ngapi?
 
Kilichonifanya nije hapa kuomba msaada wa mawazo ni hili tatizo la midhaha ya huyu mke wangu, amekuwa mtu wa kujibu au kuongea bila ya kuweka mipaka ( kutenganisha kipi Cha kuongea na mpenzi na kipi Cha kuzungumza na mume ambaye ni mkuu wa kaya).
Ndoa ni kuvumiliana. Kama ulishajua kuwa tabia yake ndiyo hiyo basi hebu poa maisha yaendelee.

Usijipandishe pressure kwa mambo ambayo unaweza kuyavumilia kwa mwenzako. Endeleeni kuenjoy maisha haya ni mafupi mno kujipa stress.
 
Kuwa mkali brother, nakumbuka ilishawahi nitokea tuko kwenye Sala katikati kabisa mara simu inaita et jirani(mpangaj mwenzangu) anampigia simu wife akimuomba amfungulie mlango wife kapokea simu na akatoka kwenda kufungua aliporudi alichokutana nacho hajawah rudia huo ujinga. Onyesha uanaume kwenye mambo sirias, mizaha na utani kwenye ndoa huchangamsha maisha yaende usiwe Siri sana la kama Anord swaziniga kwenye terminator
 
kumbadilisha mtu mzima ni kazi narudia ni kazi,kama unataka kuishi kwa amani mchukulie hivohivo
 
Nitazingatia hili, asante kwa ushauri
 
Wewe unasalije peke yako mkeo anaendelea kupanga nguo kwenye kabati badala ya kushiriki pamoja sara kwa pamoja?.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…