Mke kazidi mizaha

Shida inaanzia hapo wewe kutompiga japovibao kadhaa. Kuna watu mpaka nguvu itumike ndio wanaelewa. Mwanamke kuna muda mwenyewe anamiss kupigwa, usimnyime kibao mke wako
Nilishawahi kufanya hivyo, ila nilijisikia vibaya sana, sitaki nirudie tena kumpiga
 
Angenisubiri kwanza nimalize afu aseme ni uongo wala nisingeumia ila nipo katikati ya ibada mtu anasema nasali uongo.

Sisi wote ni wa dini moja
 
Kuna wanawake wanapenda shari shari, inatokea tu anataka kuanzisha kaugomvi pasipo sababu ya msingi, na anasikia raha kufanya hivyo, inawezekana wako ni mmoja wa hilo kundi.
Mtu wa namna hii nafanyaje kumdhibiti?
 
Asante sana kwa wazo zuri, nitafuatilia
 
Either unachepuka au yeye anahisi hivyo, anafahamu au anzihisi dhambi zako na anafahamu au anshisi unaziendeleza, hivyo anakwambia acha kumdhihaki Mungu.
Inawezekana, ila sichepuki, ila kwa hii tabia yake huenda nikafikiria.
 
Tunakusamehe kwa kutokuwa mwandishi mzuri.

Hakuna neno MIDHAHA bali tumia neno MIZAHA au MZAHA


Kuhusu mkeo, yupo poa ila shida ni malezi ya kwao. Muombee kwa Mungu kisha usimfuatilie hayo anayojibu maana kuna shetani kasimama kwenye kizingiti cha mlango na unapaswa kumshinda
 
Asante kwa ushauri kaka, ila inaumiza kichwa sana.

Kwa mfano kuna siku tulikuwa ibadani, kuna mzee wa kanisa alimuita kwa jina langu la ukoo, alimkatalia kuwa haitwi hivyo Bali akataja jina la ukoo wao, mke ambaye nimemuoa kwa ndoa tena kwa Mali kamili bila ya deni.

Yule mzee alikaa kimya na hakuongea tena, inaumiza sana.
 
Hahahahahaha
, asante sana, nitajaribu siku nyingine, huenda ikaponya ndoa yangu.
 
Hahahahahahahaha, itabidi niongeze dozi
 
Hahahaha ila mkeo nimempenda Bure....lakini kama unasali uongo asiseme jamani?....bila shaka husband utakuwa ni yake makabila yetu ya Kanda ya ziwa kurya....mana sio kwa hasira izo
Hahahahahahahaha
 
Ongeza mtoto wa tatu mkuu,huyo dada hana tatizo,tatizo unalo wewe unacomplicate vitu vidogo vidogo..kiufupi una ghubu,tafta mtaalamu wa saikolojia atakusaidia
Tunamtarajia kijana mwingine muda sio mrefu.
 
Nimelichukua hili, nitalifanyia kazi. Asante sana kwa muda wako, kwa kweri umeniongezea kitu
 
Hakuwahi kufanya anachofanya kifanya, ndio maana nikawa mwepesi kufunga naye ndoa
 
Wewe jamaa sijui unatokea Mkoa gani,sasa kama mke hakufanya utani na wewe afanye na nani,?..

Huyo mkeo ana mapenzi ya dhati na wewe,anakupenda sana na ndio maana anafanya mzaha na wewe..

Ati umekasirishwa kwasababu mke kakwambia unasali uongo!!!hicho sio kitu cha kukasirika

ungelimjibu nasali ili nizidi kukupenda mke wangu,ili upendo wetu uwe wa milele wa kufa na kuzikana..

Wanawake wa Kitanzania wanalalamika sana kuhusu wanaume zao kuwa hawana mapenzi,hawako romantic,wanaume wenyewe ndio kama wewe..

Kaka hii dunia nyengine kuwa humble kwa mke wako,elimu na kipato chako weka pembeni unapokuwa nyumbani na mkeo

Mke wako hana matatizo,matatizo unayo wewe,jirekebishe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…