Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,062
Hivi ukikuta hivyo kwa mwenza unategemea hapo imani itakuwepo? Yaani kinachobaki ni kulazimisha amani tu moyoniLinagharimu mahusiano kwa kiasi kikubwa.
Hivi ukikuta hivyo kwa mwenza unategemea hapo imani itakuwepo? Yaani kinachobaki ni kulazimisha amani tu moyoniLinagharimu mahusiano kwa kiasi kikubwa.
Kwahiyo unalipa kisasi badala ya kurekebisha nawe unaongeza petrol maana yakuwa kichwa unazani nikujaza minyama kwenye frig na misamaki mkuu nihekimaMbona ye kipindi tu kuna rafiki yake wa kiume alikuwa anamuita mume mi nilikuwa sikasiriki? Au mimi sina wivu?
Job true true
Mkuu sio kwa lengo la kulipiza na mi huwa sina muda huo, naamini amejishtukia na ndio akahiso labda huyo mtu ni mpenzi wangu wakatini rafiki tu wa kawaida.Kwahiyo unalipa kisasi badala ya kurekebisha nawe unaongeza petrol maana yakuwa kichwa unazani nikujaza minyama kwenye frig na misamaki mkuu nihekima
Atachukua wangapi kama makosa anayafanya yeye huyo mwingine atavumilia si ajabu huyo atakuwa ndiyo pasua kichwa pamoja na miguuWanawake wamejaa chukua mwingine
Amani hamna na uaminifu pia. Kazi kwelikweli mwanaume usijitambua.Hivi ukikuta hivyo kwa mwenza unategemea hapo imani itakuwepo? Yaani kinachobaki ni kulazimisha amani tu moyoni
Viongozi wanapotoa mafundisho yao huonya kabisa tabia zaujana ziachwe kabisaAmani hamna na uaminifu pia. Kazi kwelikweli mwanaume usijitambua.
Kweli kabisa.Viongozi wanapotoa mafundisho yao huonya kabisa tabia zaujana ziachwe kabisa
Sababu hakunaSalaam wana jukwaa pendwa, nisiwachoshe twende kwenye mada.
Jana usiku majira ya saa 2 kasoro maeneo ya huku kwetu Gomz umeme ulikatika, sasa nikajaribu kumuuliza mmoja kati ya marafiki zangu wa kike ambae haishi maeneo haya, kuwa maeneo anayoishi yeye umeme upo! Nilimuuliza kwa njia ya whatsapp, baada ya kunijibu nilimtakia usiku mwema na mimi akanitakia. Sasa kwa vile ndani ilikuwa joto sana ikanibidi nitoke nje ya nyumba. Nilikaa hapo hadi kufikia saa 4 umeme ukawa bado haujarudi, nikaamua niingie ndani nijipumzishe sebuleni. Kwa vile jana ndio nilikuwa nimerudi toka kwenye mihangaiko ya kutafuta maisha, nilikuwa najidkia uchovu sana, hivyo pale nilipojipumzisha nimekuja kushtushwa na ubaridi kwenye saa 8 usiku, kumbe wife alikuja na kunimwagia maji ya baridi toka kwenye friji[emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] then ye akaingia chumbani. Nikajinyanyua ili nami niingie kushika mlango, kumbe tayari umefunhwa kwa ndani. Nilikaa pale kama nusu saa nikitathmini kilichonitokea kama ni kweli. Kwa vile nimejawa ujasiri nikafungua mlango wa nje na kwenda kuingia chumbani kwa kupitia dirishani, wakati naingia mke wangu alitaharuki kwa kudhani ni kibaka[emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] nikamtuliza na kulala hadi asubuhi. Sasa hiyo kufika asubuhi ndio ameondoka na kuacha watoto. Ushauri wenu jamani, nifanye/nimwambie nini ili arudi.
Povu ruksa lakini sio matusi.
Nafukua makaburiUpuuzi kabisa utamwita vipi.[emoji44] mtu mwingine baby wakati yeye unamuita majina ya hovyo hovyo mie ningekutoa jino kabisa upuuzi yeye akimwita rafiki yake wakiume baby utatoa meno nje mwambie baby wako akambembeleze arudi
kumbe nami nilitelekezwa na mtoto! Basi poa,so sasa hivi uko na baby alokufanya uachike ama?Kwani hukuniona mkuu?
Duu hauogopi kuchafuka na mvua hizi!Nafukua makaburi