Mke kanikimbia na kuniachia watoto

Mke kanikimbia na kuniachia watoto

Sababu zitakua nyingi tu ndo maana umeacha si ajabu una mabebez wengi kwenye phonebook yako kakudukua hadi basi haya ndo umtafute mwenzako umuombe msamaha..!
 
Sababu zitakua nyingi tu ndo maana umeacha si ajabu una mabebez wengi kwenye phonebook yako kakudukua hadi basi..haya ndo umtafute mwenzako umuombe msamaha..!
Kadukua lakini ni rafiki sio mpenzi
 
Kadukua lakini ni rafiki sio mpenzi
Basi mtafute tu umuombe msamaha kamnunulie dish dash zuri na kanga!umpelekee kifuta machozi eh.pia ujifunze kujiheshimu usipende kumuumiza mwenzio hisia zake kwa kuita wanawake wengine majina ya kimahaba.Wivu upo hata kama humaanishi.
 
Siku atakumwagia maji ya moto ndio utamuelewa
 
Basi mtafute tu umuombe msamaha..kamnunulie dish dash zuri na kanga!umpelekee kifuta machozi eh.pia ujifunze kujiheshimu usipende kumuumiza mwenzio hisia zake kwa kuita wanawake wengine majina ya kimahaba.Wivu upo hata kama humaanishi.
Mbona ye kipindi tu kuna rafiki yake wa kiume alikuwa anamuita mume mi nilikuwa sikasiriki? Au mimi sina wivu?
Job true true
 
Mbona ye kipindi tu kuna rafiki yake wa kiume alikuwa anamuita mume mi nilikuwa sikasiriki? Au mimi sina wivu?
Job true true
Kwahiyo ndo umemlipiza?ahhh ebu acha hizo mmeshazaa watoto tulieni mlee acheni drama.
 
Umeeleza mengi lkn hujasema sababu ya mke wako kukimbia na kuwaacha watoto
Kuna kitu kakificha mi nahisi ile simu ya mambo umeme ilikuwa na shida fulani mtoa mada kaficha.Wanaume wa bongo uwamwagie maji,ufunge mlango then apitie dirishani then alale Kirahisi tu.
Wanaume hebu tuache maisha ya mazoea ya kuwa na wanawake nje hebu tafakarini wazee wetu wameleta mitafaruku mingapi mpaka kukaribisha dhiki kwenye familia kisa nyumba ndogo
 
Kuna kitu kakificha mi nahisi ile simu ya mambo umeme ilikuwa na shida fulani mtoa mada kaficha.Wanaume wa bongo uwamwagie maji,ufunge mlango then apitie dirishani then alale Kirahisi tu.WANAUME HEBU TUACHE MAISHA YA MAZOEA YA KUWA NA WANAWAKE NJE HEBU TAFAKARINI WAZEE WETU WAMELETA MITAFARUKU MINGAPI MPAKA KUKARIBISHA DHIKI KWENYE FAMILIA KISA NYUMBA NDOGO
Mkuu hapo sina nilichoficha, then huyo mtu mwenyewe si mchepuko wangu wala nini ni rafiki tu wa kawaida.
 
Mkuu hapo sina nilichoficha, then huyo mtu mwenyewe si mchepuko wangu wala nini ni rafiki tu wa kawaida.
Basi mkeo kichaa huyo kwani mkeo ni kabila gani mi kwetu ni goms hapo hapo na nimesoma hapo shule ya msingi mzambarauni enzi zile inaitwa gongo la mboto A
 
Basi mkeo kichaa huyo.Kwani mkeo ni kabila gani mi kwetu ni goms hapo hapo na nimesoma hapo shule ya msingi mzambarauni enzi zile inaitwa gongo la mboto A
Hata mi nahisi, maaana huko kote tulikotoka hakuwa hivyo eti sahivi ndio anabadilika hivo
 
Hata mi nahisi, maaana huko kote tulikotoka hakuwa hivyo eti sahivi ndio anabadilika hivo
Sasa basi mtafute na uwe nae karibu ujue kisa cha kutimka kwake maana maisha ya siku hizi yanatufanya kuwa wehu wazima.
 
Back
Top Bottom