moses Mwanja
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 534
- 463
wew utakuwa umekonda kama mbu kama umeweza kupita dirishani bila kulivunja
Haha hili ni neno jipyaYe namwita Habibty
Kisa yule rafiki wangu namuita baby, lakini ni urafiki tu.
Upuuzi kabisa utamwita vipi.[emoji44] mtu mwingine baby wakati yeye unamuita majina ya hovyo hovyo mie ningekutoa jino kabisa upuuzi yeye akimwita rafiki yake wakiume baby utatoa meno nje mwambie baby wako akambembeleze arudiKisa yule rafiki wangu namuita baby, lakini ni urafiki tu.
Habibty jina la ovyo?Upuuzi kabisa utamwita vipi.[emoji44] mtu mwingine baby wakati yeye unamuita majina ya hovyo hovyo mie ningekutoa jino kabisa upuuzi yeye akimwita rafiki yake wakiume baby utatoa meno nje mwambie baby wako akambembeleze arudi
Linamaana gani maana hata kwenye dictionary hakuna au lakiruga chenuHabibtyjina la ovyo?
Neno la kiarabuLinamaana gani maana hata kwenye dictionary hakuna au lakiruga chenu
Ndiyo mfuate ili akusaidiye kumtafuta mkeoNo sina mchepuko mkuu, nimetulia kama sipo nowadays
Mkeo anakijua hicho kiarabu?kwanini hicho kiarabu usimwite huyo mchepuko wako!Neno la kiarabu
What does "habibty" mean??
Haya pambana umrudishe nyumbaniAnakijua, mkuu samahani sina mchepuko
Kuna mazoea inakulazimu mwanaume kuyaacha anapokuwa na mke.Kisa yule rafiki wangu namuita baby, lakini ni urafiki tu.