Mke kamkimbia jamaa yangu

Kwa hiyo age miaka hii wanakuwa hawana akili ya maisha bado wadogo kiakili ingawa kimwili wameshakomaa.
Mkuu hayo maisha unayoyaelezea hapo ni ya katika movie labda,ila ukija katima maisha halisia hakuna solution ya namna hiyo. Ukitaka siku umkute kalala na kidume ndani kwako endekeza hizo dharau ndogo ndogo.
 
Nina rafiki yangu dam dam kaoa mwaka huu mwezi wa pili,ndoa ya mkeka ya kiislam,kabla ya kuoana walikuwa kwenye mahusiano kwa miaka miwili.
Tukiwaambia kwa haya maisha ya sasa sio muhimu tena kuoa hamuamini
Hapo ndo uone wanawake wa siku hizi walivyo ulinganishe na wa zamani ambao walivumilia kuishi maisha yoyote magumu

Na cha ajabu hapo demu atatombesha kwa hasira akiamini kwamba anamkomoa mumewe kwa kosa la kumpiga atagawa Mbususu hapo mjini mpaka siku anaondoka akiwa safarini ni mwendo wa kugawa mbunye kwa maex wake wa zamani na washkaji wapya mpaka aje kurudi utakuta kabebeshwa mimba halafu aseme ni ya mumewe
 
Kwa hiyo age miaka hii wanakuwa hawana akili ya maisha bado wadogo kiakili ingawa kimwili wameshakomaa.
Umeongea point sana mkuu hao ndo mabinti wa siku hizi kitu kidogo tu anakataa kupika na anakuachia kitanda ulale mwenyewe yeye alale sebureni halafu anagawa mbususu kwa hasira akiamini kwamba anakukomoa.

Hapo ukute na maisha yako ya shida unashinda kutwa nzima na mishemishe za town unarudi home usiku umechoka mwili mpaka akili halafu unakuta mke yuko hivyo utapata wapi nguvu ya kumbembeleza eti mkatafute chipsi gengeni?
 
What come easy, gos easy, ndoa ya mkeka? Chain maandazi lkn angekuwa mamailion yametoka
 
Mwache aende wala usijishuhulishe nae mbona atarudi tu ameondoka kijinga bila shaka atarudi

Halafu hapo aliposema eti atunziwe nguo ili iweje!? Hahahahah atarudi huyo.
 
Kingine umri miaka 30 kuoa 24 unataka nn
Hapa sijakuelewa. Unamaanisha tofauti ya miaka baina yao ndiyo sababisho, kwamba bado hawajakomaa kuwa ndoani?
Kwa umri huo hauna tatizo lolote kwa binti mwenye kutulia. Huyo alikuwa hawara tu, nadhani walikuwa bado kujipanga kwa engagement. Ona ndoa yenyewe ya mkeka.
 
Aisee
 
Nina ushauri mzuri kwake ila bc tu nisije ambiwa sipendi maendeleo ya wenzangu
 
Kumbe kanyimwa nyama ya kula miee nilidhani kanyimwa mbususu bwana. Vitu vidogo hivyo mwambae jamaa yote kayataka yeye mwenyewe...slogan ya wanaume ni hakuna kuoa yeye alikubalike ndoa ya mkeka
 
Wote wanahitaji ushauri! Bado ni watoto wachanga katika maswala ya ndoa! Pili kama walianza uhusiano kabla ya ndoa matokeo yake ni kutoheshimiana.
 
Mwanamke anapima upepo,
One wrong move, ataharibu kabisa for the rest of their life
 
Mwambie huyo jamaa kwamba, dem ana jamaa mwingine ndio maana kaanza visa.
Na possibly huyo dada alishaanza ku regret kuolewa wakati bado yuko kwemye peak. Anaona ndoa inambana ndio maana analeta vi sababu vya kiwaki.
Sahii kabisa[emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…