Mke kamkimbia jamaa yangu

Kuna uzi humu unasema kuolewa bongo ni kama ajira ...sikuelewa ila sasa nimeelewa
 
jamaa njaa wala yuko vizuri tu,na sio hakuwa na uwezo wa kununua hiyo nyama ni vile gari letu tulobebea mzigo lilikwama njian ko tukachelewa kufika Town ko mda wa kutuma mboga home ukawa umetait
Ikiwa aliachiwa pesa ilibidi afanye kilichowezekana. Badala yake alikata simu bila kujua kwanini mume kabadili ratiba.

Tabia Tabia Tabia. Akiendelea nae ataliabna kusaga meno. Amwache aende
 
Mpaka mwanamke kufikia huko, inaonekana jamaa alishaonyesha udhaifu wa kumpenda tangu mwanzo.
Anyways, kwa upande wangu, kwa hatua niliyofikia, mwanamke akileta za kuleta situmii nguvu nyingi, namfungulia mlango asepe lakini akiondoka, ndiyo imeisha hiyo.
Kama ni wewe au jamaa yako, nashauri mwanamke halazimishwi, mwache akaonje joto ya jiwe kwingine.
 
uchungu wa mahari bado haujapoa tulitoa mil 2 cash na bado tunadaiwa.
Unataka kumaanisha nini, mmenunua bidhaa ama? Mahari mlitoa kwa hiari yenu kama tamaduni kwa kila kabila kila jamii, hiyo ni lazima utoe sio ombi, shida inakuja pale mahari unapoiangalia kama ndiyo imenunua biadhaa mnakosea ipo siku mtawaza mmetoa pesa nyingi mkafanya maamuzi magumu mkaua
 
Mwambie hivi pana nyanya milioni moja juu ya mezani, kwann aangahike na moja mbovu iloyoanguka chini.
Huyo sio mke huyo ni matatizo.
Ndoa yenyewe ya kiislamu na ujazaa nae.
thanks
 
kila kitu dem anacho,,na nmzuri haswa,rangi ya mtume na shape la kufa mtu
 
Jamaa auchune.. Asimtafute wala nini.. AIshie tu kutoa taarifa kwa ndugu wa mke kuwa hayupo naye na hajui aliko.. Basi..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…