Mke hufurahia mume anapougua

Mke hufurahia mume anapougua

Si kweli, labda uoe hawa waigiZaji, mke kabisa wa ukweli yupo real wakati wote, upendo huanzia asubuhi unapoamka, kwa kukuandalia kila kitu, ikiwemo kukupa cha kuchangamsha mwili( morning .ex ) kukuandalia maji, chai, kukutakia kila la kheri na baraka tell huko uendako ukisindikizwa na busu matata sana, mke hukujulia hali hata Mara tatu kwa siku ukiwa job, na unaporudi atakupokea na kukupa pole kwa mihangaiko ya mchana kutwa, na mengine yanayostahili yatafuata, Kama kukuandalia maji na chakula, mke mwema anakufa hamu, siku ukiwa umerudi tofauti anajua aanze kukusemeza vipi, mfano mke ajue aongee kipo ukiwa na hasira, mke ajue ni wakati gani wa kukueleza kama kuna mapungufu, kifupi mke real Ana mengi ya kujivunia...nakumbuka katika mihangaiko ya kutafuta maisha niliwahi kujikuta nimewekwa ndani saa mbili usiku, waifu aliposikia ilikuwa Kama saa nne hivi, akaja na chakula, wakagoma kwamba muda umepita waifu alisema hatoondoka hapo labda wamuue alikuwa na ujauzito wa miezi tisa, aliwapigia kelele hadi nikapewa msosi saa Saba za usiku na hakuondoka alilala nje ya kituo mpaka asubuhi, ilibidi nitolewe nitaongea nae maana kuna kila DALILI angezalia kituoni, aligoma mpaka nikapewa dhamana na tunatoka kituoni moja kwa moja tunaenda hospital anajifungua mapacha. Na mpenda sana waif..sababu anafahamu nafasi yake kwangu, nampenda pia, sababu hajawahi zingua huyu zao Tanga...wapende ndugu wa mkeo atawapenda ndugu zako maradufu
 
Mkuu usiseme hivyo **** watu wanauguza mafinjwa sugu miez na miez wamechoka wanataman hata wasingeolewa
 
Awamu ya tano inafanya watu wawe kama vichaa, kila mtu na utafiti wake!
 
Ni mwanamke mpumbavu pekee,awezae kufurahia kuugua kwa mumewe ili awaoneshe watu kuwa anampenda na kumjali mumewe!
Mwenye hayo mawazo naye akili yake haina akili,yaani mume wako anaumwa wewe unafurahia?labda kama mna magomvi sugu ndani ya nyumba..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom