Mke havai hivi wala tusibishane

Mke havai hivi wala tusibishane

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,640
Reaction score
65,112
Pichani hapa chini ni Hakimi na aliyekuwa mkewe. Kwa kuangalia tu mavazi yake, sisi makungwi tunapata jibu kuwa huyu alikuwa siyo mke, bali ni kahaba lililokubuhu.

1681853986520.jpg

Nawaonya enyi wanaume mnaopinga kampeni ya "Kataa ndoa" mkitaka kuoa angalieni mavazi ya mwanamke.

Mavazi huakisi tabia, hulka ama kazi ya mtu. Hivyo usidanganywe eti kwamba haya ni mavazi tu. Hapana.
 
Hio hutegemea na aina ya mtu alionae na hakim sio muoaji mwanamke anaenda vile mtu wake anahitaji so hakim nae alkua hayuko seriously kwan angekua anaoa asnge mruhusu hvo
Namaanisha mke ajiweka na kua kutokana na vile mme wake au mtu wake anapenda over do u copy?!
 
Usiwachukulie wake serious, utapata sonona na kuumwa kiharusi mapema tukuweke six feet under. Copy that
 
Hio hutegemea na aina ya mtu alionae na hakim sio muoaji mwanamke anaenda vile mtu wake anahitaji so hakim nae alkua hayuko seriously kwan angekua anaoa asnge mruhusu hvo
Namaanisha mke ajiweka na kua kutokana na vile mme wake au mtu wake anapenda over do u copy?!
Mwanamke alikuwa 36 yeye 24! Halafu mwanamke ni akina Uwoya huko Spain ingawa mzaliwa wa Tunisia! Kijana m Morocco
 
Tofautisha culture ya mtu mweusi na mweupe, alafu ndoa ni vile unavoiendesha wewe mwenye ndoa sio kama kina flani wanavoishi kwa ndoa yao
 
Hata yeye akiona picha ukiwa na mumeo atashangaa sana, mke anaavaaje hivyo!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom