Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
Sijaelewa hiyo pic mtetea ananyaje hapo chini
Mtetea kainama kuonyesha heshima kwa mumewe!
Mmmh kumbe kwan heshima peke ake ndo inakuonesha u mke bora
Hapana ila ni moja ya sifa za mke bora!
Unataka kumjua mke BORA?
Soma mithali 36 yoooooooote utamjua na kumfahamu Biblia ina kila kitu sio kitabu cha yuleee asiyejua kusoma wala kuandika.
Unataka kumjua mke BORA?
Soma mithali 36 yoooooooote utamjua na kumfahamu Biblia ina kila kitu sio kitabu cha yuleee asiyejua kusoma wala kuandika.
Mke yampasa kumuheshimu mumewe
36. Itakuwa Quran. Mpwa