Mke aweka rehani nyumba ya mumewe benki achukue pesa na kumpa mchepuko

MAONI YANGU;

Jamaa aliyekuwa nje ya nchi akamatwe aswekwe ndani ili asidhuru,asijidhuru,apewe huduma ya kisaikolojia hukohuko.
 
Lakini naona watakao poteza hapo ni Benki hawataweza kuuza hiyo Nyumba. Huyo mwanaume aende tu huko benki akadai Hati yake. Inaonekana Benki hawakufanya verification ya kutosha.
 
Atakuwa yule jamaa mwenye tabia ya kumwaga asali kwenye apple na kuanza kuilamba taratiibu kabla hajaimaliza utakuta mtu anatetemeka mwili mzima kabla kuweka dip stick ni sababu mojawapo ya Nyumba kuwekwa bondi.
 
Atakuwa yule jamaa mwenye tabia ya kumwaga asali kwenye apple na kuanza kuilamba taratiibu kabla hajaimaliza utakuta mtu anatetemeka mwili mzima kabla kuweka dip stick ni sababu mojawapo ya Nyumba kuwekwa bondi.
Mixer kutumia ice cubes kwenye maeneo ya uti wa mgongo

Hati ya nyumba kwenda na maji
 
Hapa kidogo yawezekana ila sio kirahisi vile maana ni mchakato mrefu kuanzia hati yenyewe na vitambulisho. Huwa bank wanafanya mpaka uthibitisho ni kamchakato labda iwe wamecolude na ofsa mikopo!
Mzee ye kukimbia sio fala unajua umepga mzigo Tena Nyumba ya jamaa watu hawaeleweki angeweza kuolewa kabsa watu wamechafukwa roho jumla jamaa anavopambana njee alafu uje uchukulie mkopo Nyumba yake hata Mimi nakuoa walah
 
Kuna watu ukisikia wameua unaweza kudhani wana roho mbaya sana kumbe ni situation imetokea tu. Leo nilikuwa nachat na jamaa yangu, katika mazungumzo nikamuuliza hivi flani yuko wapi nina muda mrefu sijawasiliana naye kama miaka mitatu hivi. Jamaa akanijibu hata hajulikani alipo kakimbia mwezi uliopita anafutwa kwa kesi ya utapeli.

Eti jamaa alikuwa na mahusiano na mke wa mtu ambaye mume wake alikuwa ng'ambo. Basi sijui mdada penzi likakolea, jamaa akamshawishi aweke nyumba ya mumewe benki wachukue mkopo. Na mwanamke akafanya hivyo, pesa akampa jamaa. Jamaa akanunua usafiri wa maana na kutumbua. Jamaa anapata taarifa karejea anamsaka jamaa. Jamaa kusikia kaacha kazi na alikuwa anafanya kazi nzuri tu kakimbia.

Nikawaza, ningekuwa mimi huenda hata unaweza kujikuta unaua mtu. Yani niko nje huko nina hustle, wewe unagongwa halafu na nyumba yangu unahonga. Wallah naweza kukupiga risasi.
Wanawake tuoneane huruma jamani unaweza kumuofosaro mtu hivi hivi.
Kwani si mlishaambiwa MSIOE?
Nini tena mnakitafuta huko?

#YNWA
 
Back
Top Bottom