Achana nae, mwanamke anaeua kitoto bila sababu maalumu tena za kiafya ipo siku atakunywa wewe kama supu ya kongoro , akishushia na tusafari tu wiwili twa baridi.Mangi ni dada yako ujue maana ni mchaga wa machame
Weee si ni jana tu umetuhonesha kupika pilau, leo ushakuwa mwanume teyali sio!Labda ni ya mchepuko
Ila mkienda mahakamani kudai mali mnabadilika, mnasema alikuwa ni mke maana umeishi nae, hivyo ndoa ya kanisani, msikitini au kimila sio lazima ili awe mke..Ulivyo muuliza yeye kakujibuje??
Every thing happen for a reason.
Muulize Kwanza, ujue sababu ni nini kisha ulete merejesho.
Btw kulipa mahari, hakuhalalishi ndoa. Ndoa ni either mfunge kanisani, msikitini au kimila.
Nachojua kila kitu anapataKafanya makosa makubwa sana,
Ila na wewe jiulize ni wapi unapungua bro. Labda kaona haueleweki unamzalisha tu ndoa hutaki kufunga. Au matumizi ni changamoto hata kwa huyo kijana ambaye tayari umezaa.
Hakuna mwanamke anapenda KUUA, ila kuna jambo serious liko nyuma yake. Litafute hilo
Sure broAchana nae, mwanamke anaeua kitoto bila sababu maalumu tena za kiafya ipo siku atakunywa wewe kama supu ya kongoro , akishushia na tusafari tu wiwili twa baridi.
Ndio game sasa hilo unatakiwa ufumbue fumbo umjue muhusika uwafumanie umtimue kwao.Muhusika ajulikane au asepw kwao
Kwani nilisema mimi ni keWeee si ni jana tu umetuhonesha kupika pilau, leo ushakuwa mwanume teyali sio!
Sasa weqe ndio umeongea hesabu zenu ndio zinaendag ivyoKulea mchezo? Kapiga hesabu mtoto ana miaka 2 alee mimba nyingine miezi 9 ajifungue aendelee kulea watoto wawili aaah we akajiongeza😀😀😀😀
Nb: kutoa mimba Ni uuaji na haikubariki mchawi magome ya Mzungu tu!
Kabisa na hawataki kusikiaIla mkienda mahakamani kudai mali mnabadilika, mnasema alikuwa ni mke maana umeishi nae, hivyo ndoa ya kanisani, msikitini au kimila sio lazima ili awe mke..
Ngoja aponeNdio game sasa hilo unatakiwa ufumbue fumbo umjue muhusika uwafumanie umtimue kwao.
Ukitumia nguvu hupati haki mzee
Ishi ukiwa huru na sio Kwa Sheria za kutungwa na binadamu!kwanini ufinyangwe!!?Hamjafika kanisani kufungishwa ndoa then unasema mke halali? Nani kahalalisha?
Vipi swala la ndoa mkuu? Unajua kuna hata wazazi wanawaambia watoto wao "usiongeze mtoto mpaka mfunge ndoa"? Hofu ya u single mother ni kubwa sana mtaaniNachojua kila kitu anapata
Ina maana mpaka mnapeleka mahali bado hawaaaminVipi swala la ndoa mkuu? Unajua kuna hata wazazi wanawaambia watoto wao "usiongeze mtoto mpaka mfunge ndoa"? Hofu ya u single mother ni kubwa sana mtaani
Ina miezi mingapi?Iyo ni njia ya kujitetea tu
Huyo single mothers maskini ila hawa wenye kazi zao ,wanataka watoto.Vipi swala la ndoa mkuu? Unajua kuna hata wazazi wanawaambia watoto wao "usiongeze mtoto mpaka mfunge ndoa"? Hofu ya u single mother ni kubwa sana mtaani
Ma Mshuza NJOO UTOE USHAURI HUKUHell
Hivi unaweza vumilia hili suala ni mke wako kisheria umetoa mahali bado ndoa ya kanisani tu ila kisheria ni mkeo mna mtoto mmoja baada ya miaka miwili mkeo anapata mimba na wewe unajua maana amekufahamisha then gafla tu anaumwa kumpeleka hospital Dr anakwmbia alikunywa dawa za kutoa mimba bila shaka unaweza kuendelea nae?
Maswali yanakuja kwanini atoe mimba?
Haikuwa yakoHell
Hivi unaweza vumilia hili suala ni mke wako kisheria umetoa mahali bado ndoa ya kanisani tu ila kisheria ni mkeo mna mtoto mmoja baada ya miaka miwili mkeo anapata mimba na wewe unajua maana amekufahamisha then gafla tu anaumwa kumpeleka hospital Dr anakwmbia alikunywa dawa za kutoa mimba bila shaka unaweza kuendelea nae?
Maswali yanakuja kwanini atoe mimba?