Mke atoa mimba

Mkuu, kabla ya kuongea jichunguze uchumi wako upoje? Mke anaweza kuwa kajua hapa hutoboi halafu akujazie watoto?

Pia huyo dr ni Muongo, kama mtu kanywa hizo dawa hakuna mbinu mtu mwingine anaweza jua, unless mgonjwa awe amesema which is less likely
 
Kwanza, sina uhakika kama ni kweli maana we mpishi kutupikia chai ni kitu simple.
πŸ™‚

Pili, tatizo nduguyetu Mwachiluwi unampikia sana huyo bibie, mara kisamvu cha yogurt, mara njegere za nazi, mara juisi ya mahindi. Mimba kutoka ni kugusa.
πŸ™‚

Enewei, pole kijana mwanamke akifanya abortion tena wakati wewe umeshaikubali mimba ujue hapo huna chako mnasogeza tu siku.
πŸ™‚

Hayana muongozo ila kwa hili. Duh!!!
 
Huyo Ana busara Sana, badala ya kukubambikia mtoto kaamua kukwambia siyo yako kwa vitendo.
Shukuru Sana kwa Hilo na pima hao wengine.
 
Mkuu, kabla ya kuongea jichunguze uchumi wako upoje? Mke anaweza kuwa kajua hapa hutoboi halafu akujazie watoto?

Pia huyo dr ni Muongo, kama mtu kanywa hizo dawa hakuna mbinu mtu mwingine anaweza jua, unless mgonjwa awe amesema which is less likely
Kwahy kuna uwalakini?
 
Dah noma sana
 
Kafanya makosa makubwa sana,

Ila na wewe jiulize ni wapi unapungua bro. Labda kaona haueleweki unamzalisha tu ndoa hutaki kufunga. Au matumizi ni changamoto hata kwa huyo kijana ambaye tayari umezaa.

Hakuna mwanamke anapenda KUUA, ila kuna jambo serious liko nyuma yake. Litafute hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…