Mke anaweza kukuharibia mafanikio maishani

Kijana chunga sana mtu unayemuoa. Kuna baadhi yao wanaweza kukuharibia malengo yako. Usifuate wezere tu.
Babu yetu alikuwa anawaambiaga wajukuu zake wa kiume nawakumbusha tu kuwa mtoto wa kiume huwa harithi tako la mama msituharibie ukoo mnapoenda kuchagua mke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…