Mke anawatangazia wazazi wangu ubaya kwa wazazi wake

Tumia kichwa kujibu ña syo matako ,wewe Unamtusi mwenzio kwnn
Unaonekana unasikiliza Kila unachoambiwa na mama yako,si umuoe mama yako,huyo mama ako anamuonya mke wako Kwan wewe umekufa???? Sipendi ndoa ya kuendeshwa na wazazi basi tuuuuuu
 
Mkuu wala hatupeleki kwa wazazi niwazazi tu wanapokua wanamtembelea mkwe wao Sasa tkt maongezi niushaur tu anapewa Kama ambovo ww wazazi wako wakutembelee kwako kwa dk kadhaa Kisha muongee tu mambo yakimaisha wakunasihi Kama mtoto wao
Mh hapana. Watakuwa wanam criticize. Cha kufanya mkanye mama yako aache kunasihi watoto wa wenzie. Yeye si ana wake?? La sivyo hii ndoa utamuona mkeo mkorofi
 
Mh hapana. Watakuwa wanam criticize. Cha kufanya mkanye mama yako aache kunasihi watoto wa wenzie. Yeye si ana wake?? La sivyo hii ndoa utamuona mkeo mkorofi
Sio kumcritise wazazi wangu niwatu wadini nasio mzazi mmoja tu wakike wote wanatunasihi Kama vijana wao tuishi maisha yakumpendeza mungu
 
Wewe ukimwambia mama ako sawa, yeye akimwambia mama ake unaona sio sawa!!

Mambo ya ndani yamalizeni humo humo ndani, acha mara moja huo ujinga!!

Alaf huko kujibu kwa kujiamini alianza baada ya kumuoa au hata kabla alikuwa hivyo alafu ukapuuzia?
 
Mkuu hujanielewa yaan yeye anageuza ushari anauzungumzia kwa ubaya kwa mama yake na mamay yake anaupokea hivo hivo nakuutangaza kwa ndgu zake
Kuhusu tabia kaianza baada ya ndoa miaka3...yaan ushauri kwa wazazi wangu kwake anauchukulia Kama anakosewa anaonewa
 
Acha kuwasikiliza hao wanaokuletea maneno alaf mnyooshe huyo mwanamke aache kiburi utaish kwa amani
 
Mkuu pole kwa kuumizwa na hilo. Ila nakupa kanuni tu kuwa hilo analofanya mkeo ndio kawaida ya wanawake (wake) wengi wa kileo (isipokuwa wachache mnooo wa kutafuta na tochi). Tabia zao nyingine ni:
1. Kumuongelea mme kwa ubaya kwa dada (wa mke) au ndugu zake (mke).
2. Kumuongelea kwa ubaya mme kwa watoto wake (kumwaga sumu kwa watoto).
3. Kutopenda kuona unawasaidia ndugu zako.

Zingine wadau watajazia.
 
Mama mkwe ananishaur nn kila siku??? Ebu akae kwake na mmewe atulie
Ushaur maramoja inatosha na mkeo sio mjinga Kama anashauriwa vizuri hawez kuelewa vibaya shida wamama wakwe wengi wanataka kuendesha familia Kama wanavyotaka wao
Na nyie hamen hapo kaeni mbali na wazazi kinyume Cha hapo kila siku mtakua mnagombana
 
Mkuu wewe ni mtoto wa kiume jitaidi sana maswala yenu wewe na mkeo muyamalize wenyewe hayo mambo sijui mke wangu anaongea na mama yake mnataka wenyewe.
 
Mama mkwe ananishaur nn kila siku??? Ebu akae kwake na mmewe atulie
Ushaur maramoja inatosha na mkeo sio mjinga Kama anashauriwa vizuri hawez kuelewa vibaya shida wamama wakwe wengi wanataka kuendesha familia Kama wanavyotaka wao
Na nyie hamen hapo kaeni mbali na wazazi kinyume Cha hapo kila siku mtakua mnagombana
Ndio hapo sasa! Kila siku nasaha! Aende msikitini kwenye madarasa ya akina mama atoe nasaha kwa wanaohotaji.
 
Huwa unakuwepo unapopewa huo ushauri. Mtu mwenye akili timamu awezi kukasirika anaposhauriwa vizuri na wazazi. Lazima watakua wana mcontrol vibaya.
 
Mama mkwe ananishaur nn kila siku??? Ebu akae kwake na mmewe atulie
Ushaur maramoja inatosha na mkeo sio mjinga Kama anashauriwa vizuri hawez kuelewa vibaya shida wamama wakwe wengi wanataka kuendesha familia Kama wanavyotaka wao
Na nyie hamen hapo kaeni mbali na wazazi kinyume Cha hapo kila siku mtakua mnagombana
Hujaelewa tunaishi ktk mji mdogo amboa ktk sehemu kubwa ya mji tunafahamiana so Jambo baya nirahisi kuonekana na kuambiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom