Mke anawatangazia wazazi wangu ubaya kwa wazazi wake

Mkuu wewe ni mtoto wa kiume jitaidi sana maswala yenu wewe na mkeo muyamalize wenyewe hayo mambo sijui mke wangu anaongea na mama yake mnataka wenyewe.
Yaan mkuu kwao nisehemu ya mji tuliopo kwaiyo kutembea kwan huwez mzuia akiwa anaenda kwenye mambo ya kijamii sahuko akipita kwao wanajadili namama yake na ndugu zake mambo ya familia yangu Tena kwa ubaya hao ndgu wanayazunguza mitaani yanatufikia nabaadhi ya ndgu zake wanatuambia ukiangalia nimambo yasiri ambayo unajua nimke kazungumza
 
Boys mama yako aloshindwa kukufundisha kuishi na mkeo Kila siku unapeleka malalamiko kwake
Mkuu hakuna anaepeleka malalamiko Bali mke ndie anaeenda kuzungumza kwa mama yake kiubaya mambo yangu mim nawazazi wangu mim Kisha yanasambaa hayo wanaotujadili akienda kwao
 
Habari wakuu ushauri, mke wangu amekua akiwatangazia wazazi wangu ubaya na ufitini kwa wazazi wake hasa mama yake pindi anapokua anarekebishwa na kushauriwa na wazazi wangu anapokua hayuko sawa. Sasa amekua maneno anayapeleka kwa mama yake kwa ubaya Yale anayoshauriwa ama kunasihiwa na wazazi wangu pia mke wangu na mama yake wamekua wanajadili na ndugu zao hao hao ndugu wanatuletea hizo taarifa ambazo kiukweli tulijadili wenyewe tu. Baba mkwe wangu Hana taarifa zozote za hayo mwanae na mkewe wanayoyatangaza kwa kwa ubaya kwa ndugu zao juu ya yale mwanao amekua akishauriwa ktk maisha

Wakuu nin nikifanye kwa mke wa namna hii anaowatangazia wazazi wangu ubaya kwa mama yake na mama yake anayabeba kuwatangazia ndgu zake Kisha ndgu hao hao wanatuambia. Hali ya kuwa mwanae ambae ni mke wangu anashauri mambo mema kabisa Tena ya kujenga familia na mke wangu amekua ni mtu mwenye majibu ya kujiamini yenye dharau pindi ninapotaka mrekebisha au kutaka ufafanuzi wajambo flani pia imekua ni mtu kuwahadhithia sana hasa mama yake mapungufu ya wazazi wangu Tena kwa ubaya.

Ushauri wenu wakuu juu ya mke huyu.
Tatzo umeoa msichana ni si mwanamke, ungeoa mwanamke asingefanya mamb ya kindezi kama haya
 
Kabisa hata wanajamii wanashangaa mambo mke anayowahadithia
Hili suala linaweza kudhibitika kwa njia nyepesi xan kam utatumia uwanaume wako, nafkir unanielew maan kuw mwanaume cyo kuw na jinsia ya kiume, there is something big behind that scene
 
Hili suala linaweza kudhibitika kwa njia nyepesi xan kam utatumia uwanaume wako, nafkir unanielew maan kuw mwanaume cyo kuw na jinsia ya kiume, there is something big behind that scene
Mkuu nikama kijitabia chakurithi toka kwa mama yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom