Makindi N
JF-Expert Member
- Mar 14, 2008
- 1,066
- 173
Mwambie huyo mama asome gazeti la Mwananchi la leo -tarehe 22-2-2011, ukurasa wa 20. Kuna habari inasema WATAALAMU: DUNIA HAITAKALIKA IFIKAPO 2050.... Inaelezea madhara ya hususani nchi zinazoendelea kuongezeka kwa idadi ya watu na its implication to msosi, land implication, mazingira - climate change. Hivyo mwambie azae tu ila ajue....... ajiandae... japo of course by that time watakua washakua watu wazima......