achana naye bwana nenda kaishi kwa mchepuko wako akipiga hapo simu aambiwe unakuja home kubadili nguo tu nakuondoka atarudi faster na heshima juuWadau, Mu hali gani?
Kumekuwapo na sintofahamu kati yangu na my wife wangu.
najaribu kutaka kumuelewa lakini nabaki njiapanda kama ilivyo kawaida yao ni ngumu sana kumuelewa mwanamke na itabaki hivyo hadi baragumu lipulizwe!
Ni muda sasa kila jambo nikifanya hata dogo kiasi gani analipiza yaani jinsi anavyonifanyia kama vile mimi mke mwenzake!nikiweka profile whatssup ya picha yangu nimeweka pozi na yeye anaweka kaweka pozi tena pozi matata!
Kuna siku kanikuta na kidemu nakisaundisha hapo kitaa cha ajabu akauchuna nikajua hiyo imepita hivi khaaa haijapita muda kaniona narudi eti na yeye akamsimamisha mpita njia eti anaongea nae huku kamshika mkono!nikapita kama sijaona na nikapotezea!
Yote tisa kumi kilichonifanya hadi kuja kuandika huu uzi hapa ni hili baada ya kurudi kutoka safari majirani wakamtonya kwamba toka asafiri kwa muda wa wiki mbili zote mimi sijalala nyumbani!
Ni kweli nilihamia kwa mchepuko katika hicho kipindi cha mpito!lakini nikamkatalia kwamba siku zote mimi nililala homu nikamuonyesha na mafuta ya mgando yalikuwa mapya ila yamebaki nusu kwa kupigia puchu maana akisafiri anajua mimi nakuwa napiga puli!
Ila bado hanielewi na ameondoka tena homu simu yake haipatikani kwa ndugu wote nimezunguka hayupo hadi nimechoka kumtafuta polisi wameniambia nisubiri siku 4 badala ya saa 24 yaani hapa nimedata mchepuko unataka nikatulie tu kwake ila sijiskii kabisa naombeni ushauri jamani maana kama kisasi iko siku tutauana sasa!
jina lako zuriHoyooo!!
Wadau, Mu hali gani?

Yaani iwe sare sare maua?Kuwa makini dogo, kuna siku atachukua DILDO na yeye akugegede!