Mke anashindana kila kitu na mimi!

Mke anashindana kila kitu na mimi!

labda tuanzie hapa mlikutana wap na mke wako kabla ya kuoana
1.bar
2.kanisani
3.njian
4.kwenye gar ulipokua unasafir
6.msikitin
7.kwenye mitandao ya kijamii.
 
wadau
muhali gani?

kumekuwapo na sintofahamu kati yangu na my wife wangu.
najaribu kutaka kumuelewa lakini nabaki njiapanda kama ilivyo kawaida yao ni ngumu sana kumuelewa mwanamke na itabaki hivyo hadi baragumu lipulizwe!

ni muda sasa kila jambo nikifanya hata dogo kiasi gani analipiza yaani jinsi anavyonifanyia kama vile mimi mke mwenzake!nikiweka profile whatssup ya picha yangu nimeweka pozi na yeye anaweka kaweka pozi tena pozi matata!

kuna siku kanikuta na kidemu nakisaundisha hapo kitaa cha ajabu akauchuna nikajua hiyo imepita hivi khaaa haijapita muda kaniona narudi eti na yeye akamsimamisha mpita njia eti anaongea nae huku kamshika mkono!nikapita kama sijaona na nikapotezea!

yote tisa kumi kilichonifanya hadi kuja kuandika huu uzi hapa ni hili baada ya kurudi kutoka safari majirani wakamtonya kwamba toka asafiri kwa muda wa wiki mbili zote mimi sijalala nyumbani!
ni kweli nilihamia kwa mchepuko katika hicho kipindi cha mpito!lakini nikamkatalia kwamba siku zote mimi nililala homu nikamuonyesha na mafuta ya mgando yalikuwa mapya ila yamebaki nusu kwa kupigia puchu maana akisafiri anajua mimi nakuwa napiga puli!
ila bado hanielewi na ameondoka tena homu simu yake haipatikani kwa ndugu wote nimezunguka hayupo hadi nimechoka kumtafuta polisi wameniambia nisubiri siku 4 badala ya saa 24 yaani hapa nimedata mchepuko unataka nikatulie tu kwake ila sijiskii kabisa naombeni ushauri jamani maana kama kisasi iko siku tutauana sasa!
Kauzu zaid ya dagaa
 
labda tuanzie hapa mlikutana wap na mke wako kabla ya kuoana
1.bar
2.kanisani
3.njian
4.kwenye gar ulipokua unasafir
6.msikitin
7.kwenye mitandao ya kijamii.
jirani ni shangaz yake ndio nilimpatia hapo.ajabu yeye ndio hatoi ushirikiano kila nikimuuliza anabetua midomo juu
 
Wewe na mkeo wote watoto tu.

Vumilianeni mpaka siku mkikua.
Kuna jamaa nilisimuliwa habari zake kuwa alioa binti mdogo. Kila akienda kazini binti naye anatoka anakwenda kucheza na mabinti wenzake. Hafanyi kazi za nyumbani mpaka jamaa arudi, ndiyo anaanza kumtafuta na kumpeleka nyumbani. Hiyo ndiyo hasara kuoana mkiwa watoto.
 
Sijui hata nikushauri nini zaidi yakukwambia kwamba hapo alipo sahizi nae kaamua kukulipizia kwa kwenda kwa mchepuko wake.
 
wadau
muhali gani?

kumekuwapo na sintofahamu kati yangu na my wife wangu.
najaribu kutaka kumuelewa lakini nabaki njiapanda kama ilivyo kawaida yao ni ngumu sana kumuelewa mwanamke na itabaki hivyo hadi baragumu lipulizwe!

ni muda sasa kila jambo nikifanya hata dogo kiasi gani analipiza yaani jinsi anavyonifanyia kama vile mimi mke mwenzake!nikiweka profile whatssup ya picha yangu nimeweka pozi na yeye anaweka kaweka pozi tena pozi matata!

kuna siku kanikuta na kidemu nakisaundisha hapo kitaa cha ajabu akauchuna nikajua hiyo imepita hivi khaaa haijapita muda kaniona narudi eti na yeye akamsimamisha mpita njia eti anaongea nae huku kamshika mkono!nikapita kama sijaona na nikapotezea!

yote tisa kumi kilichonifanya hadi kuja kuandika huu uzi hapa ni hili baada ya kurudi kutoka safari majirani wakamtonya kwamba toka asafiri kwa muda wa wiki mbili zote mimi sijalala nyumbani!
ni kweli nilihamia kwa mchepuko katika hicho kipindi cha mpito!lakini nikamkatalia kwamba siku zote mimi nililala homu nikamuonyesha na mafuta ya mgando yalikuwa mapya ila yamebaki nusu kwa kupigia puchu maana akisafiri anajua mimi nakuwa napiga puli!
ila bado hanielewi na ameondoka tena homu simu yake haipatikani kwa ndugu wote nimezunguka hayupo hadi nimechoka kumtafuta polisi wameniambia nisubiri siku 4 badala ya saa 24 yaani hapa nimedata mchepuko unataka nikatulie tu kwake ila sijiskii kabisa naombeni ushauri jamani maana kama kisasi iko siku tutauana sasa!
samahani usimtafute me ndio mchepuko wake najisevia tena duara ndogo hapa home kama polisi wamekuambia usubiri siku nne ntamrudisha jumamosi!
 
Wadau, Mu hali gani?

Kumekuwapo na sintofahamu kati yangu na my wife wangu.
najaribu kutaka kumuelewa lakini nabaki njiapanda kama ilivyo kawaida yao ni ngumu sana kumuelewa mwanamke na itabaki hivyo hadi baragumu lipulizwe!

Ni muda sasa kila jambo nikifanya hata dogo kiasi gani analipiza yaani jinsi anavyonifanyia kama vile mimi mke mwenzake!nikiweka profile whatssup ya picha yangu nimeweka pozi na yeye anaweka kaweka pozi tena pozi matata!

Kuna siku kanikuta na kidemu nakisaundisha hapo kitaa cha ajabu akauchuna nikajua hiyo imepita hivi khaaa haijapita muda kaniona narudi eti na yeye akamsimamisha mpita njia eti anaongea nae huku kamshika mkono!nikapita kama sijaona na nikapotezea!

Yote tisa kumi kilichonifanya hadi kuja kuandika huu uzi hapa ni hili baada ya kurudi kutoka safari majirani wakamtonya kwamba toka asafiri kwa muda wa wiki mbili zote mimi sijalala nyumbani!

Ni kweli nilihamia kwa mchepuko katika hicho kipindi cha mpito!lakini nikamkatalia kwamba siku zote mimi nililala homu nikamuonyesha na mafuta ya mgando yalikuwa mapya ila yamebaki nusu kwa kupigia puchu maana akisafiri anajua mimi nakuwa napiga puli!

Ila bado hanielewi na ameondoka tena homu simu yake haipatikani kwa ndugu wote nimezunguka hayupo hadi nimechoka kumtafuta polisi wameniambia nisubiri siku 4 badala ya saa 24 yaani hapa nimedata mchepuko unataka nikatulie tu kwake ila sijiskii kabisa naombeni ushauri jamani maana kama kisasi iko siku tutauana sasa!
Kuwa makini dogo, kuna siku atachukua DILDO na yeye akugegede!
 
Back
Top Bottom