Mke anashindana kila kitu na mimi!

Mke anashindana kila kitu na mimi!

Wadau, Mu hali gani?

Kumekuwapo na sintofahamu kati yangu na my wife wangu.
najaribu kutaka kumuelewa lakini nabaki njiapanda kama ilivyo kawaida yao ni ngumu sana kumuelewa mwanamke na itabaki hivyo hadi baragumu lipulizwe!

Ni muda sasa kila jambo nikifanya hata dogo kiasi gani analipiza yaani jinsi anavyonifanyia kama vile mimi mke mwenzake!nikiweka profile whatssup ya picha yangu nimeweka pozi na yeye anaweka kaweka pozi tena pozi matata!

Kuna siku kanikuta na kidemu nakisaundisha hapo kitaa cha ajabu akauchuna nikajua hiyo imepita hivi khaaa haijapita muda kaniona narudi eti na yeye akamsimamisha mpita njia eti anaongea nae huku kamshika mkono!nikapita kama sijaona na nikapotezea!

Yote tisa kumi kilichonifanya hadi kuja kuandika huu uzi hapa ni hili baada ya kurudi kutoka safari majirani wakamtonya kwamba toka asafiri kwa muda wa wiki mbili zote mimi sijalala nyumbani!

Ni kweli nilihamia kwa mchepuko katika hicho kipindi cha mpito!lakini nikamkatalia kwamba siku zote mimi nililala homu nikamuonyesha na mafuta ya mgando yalikuwa mapya ila yamebaki nusu kwa kupigia puchu maana akisafiri anajua mimi nakuwa napiga puli!

Ila bado hanielewi na ameondoka tena homu simu yake haipatikani kwa ndugu wote nimezunguka hayupo hadi nimechoka kumtafuta polisi wameniambia nisubiri siku 4 badala ya saa 24 yaani hapa nimedata mchepuko unataka nikatulie tu kwake ila sijiskii kabisa naombeni ushauri jamani maana kama kisasi iko siku tutauana sasa!
Huyo sio mwanamke ni mwanaume mwenzio achana nae
 
Tumieni hiyo fursa kwa kutengeneza movie ya maisha yenu. Mtauza sana.
 
Kati yako na yeye nani anamzidi mwenzie kipato?
 
Mi naona kama wewe mtoa mada ndio umeanzisha haya yote. Inaonekana mkeo anajibu mapigo kwa tabia zako mwenyewe. Umekiri mwenyewe alikukuta unasaundisha demu mtaani, Na umekiri mwenyewe ulikua kwa mchepuko alipokua amesafiri na kwamba majirani hawakukusemea uongo halafu unalalamika ameondoka?? We vipi bwana? Unataka uwe na michepuko halafu akufumbie macho? Kwa kua na michepuko pia inaonesha mkeo hakutoshelezi, kwahyo Mwache aende ili ufaidi vizuri michepuko yako. Kama unataka heshima lazima na wewe Ujiheshimu kwanza. Umeniudhi sana
 
Kama anashindana na wewe amka asubuhi kafanye usafi nje barabarani ukiwa na kipensi na ukiwa kifuabwazi

Akiiga basi ujue huyo ni shida
 
Wadau, Mu hali gani?

Kumekuwapo na sintofahamu kati yangu na my wife wangu.
najaribu kutaka kumuelewa lakini nabaki njiapanda kama ilivyo kawaida yao ni ngumu sana kumuelewa mwanamke na itabaki hivyo hadi baragumu lipulizwe!

Ni muda sasa kila jambo nikifanya hata dogo kiasi gani analipiza yaani jinsi anavyonifanyia kama vile mimi mke mwenzake!nikiweka profile whatssup ya picha yangu nimeweka pozi na yeye anaweka kaweka pozi tena pozi matata!

Kuna siku kanikuta na kidemu nakisaundisha hapo kitaa cha ajabu akauchuna nikajua hiyo imepita hivi khaaa haijapita muda kaniona narudi eti na yeye akamsimamisha mpita njia eti anaongea nae huku kamshika mkono!nikapita kama sijaona na nikapotezea!

Yote tisa kumi kilichonifanya hadi kuja kuandika huu uzi hapa ni hili baada ya kurudi kutoka safari majirani wakamtonya kwamba toka asafiri kwa muda wa wiki mbili zote mimi sijalala nyumbani!

Ni kweli nilihamia kwa mchepuko katika hicho kipindi cha mpito!lakini nikamkatalia kwamba siku zote mimi nililala homu nikamuonyesha na mafuta ya mgando yalikuwa mapya ila yamebaki nusu kwa kupigia puchu maana akisafiri anajua mimi nakuwa napiga puli!

Ila bado hanielewi na ameondoka tena homu simu yake haipatikani kwa ndugu wote nimezunguka hayupo hadi nimechoka kumtafuta polisi wameniambia nisubiri siku 4 badala ya saa 24 yaani hapa nimedata mchepuko unataka nikatulie tu kwake ila sijiskii kabisa naombeni ushauri jamani maana kama kisasi iko siku tutauana sasa!
Jino kwa Jino. Mi nafikiri jaribu ukae naye umueleze ukweli na uache michepuko ata badilika kwani anafanya kile unacho fanya, kwahiyo ukiacha na yeye ataacha.
 
Mkuu badilika, haiwezekani mwanaume aliyeoa siyo mvulana ila mwanaume eti akalale kwa mchepuko siku zote hizo kisa mke kasafiri, huo ni ujinga na utoto jumlisha na kutokujitambua.
Acha ujinga huo ndoa yako itapona hata mkeo atakupenda nishagundua mkeo hataki ujinga ila unamlazimisha.
 
Back
Top Bottom