Edward Mangapi
Senior Member
- Jul 29, 2018
- 126
- 66
Mara leo sijiskii, kesho nimechoka, kesho kutwa tumba linauma. Kweli tutaacha kuchepuka? Hakika mwanamke akikutana na mme wake kwa wiki kama mara nne. Si rahisi kwa Mume kuchepuka hovyo.
May be.kuchepuka ni hulka tuu hata mkeo awe anakupa dozi, asubuhi na jioni, utachepuka mchana
Jua hili ndugu ukioa sio umfanye mkeo kama punda mwanamke akuzalie akupikie akufanyie usafi bado akufulie bado awaogeshe watoto wale wavae akawachukue shule.Mara leo sijiskii, kesho nimechoka, kesho kutwa tumba linauma. Kweli tutaacha kuchepuka? Hakika mwanamke akikutana na mme wake kwa wiki kama mara nne. Si rahisi kwa Mume kuchepuka hovyo.
Nakwambia mimi ni mwanamke..... Nikuulize kitu..... Mkeo unamuandaa kisaikolojia na kimatendo? Au unafanya kumvamia dakika 5 - 7 umemaliza ..... unakoroma?Mara leo sijiskii, kesho nimechoka, kesho kutwa tumba linauma. Kweli tutaacha kuchepuka? Hakika mwanamke akikutana na mme wake kwa wiki kama mara nne. Si rahisi kwa Mume kuchepuka hovyo.
Nakwambia mimi ni mwanamke..... Nikuulize kitu..... Mkeo unamuandaa kisaikolojia na kimatendo? Au unafanya kumvamia dakika 5 - 7 umemaliza ..... unakoroma?
Haki....Kama ni kwa dizaini hii tumbo haliwezi kuacha kuuma kila siku maana unachofanya hapo ni kumchafua pekee. Anachoka. Anajiona uvivu tuu.
Imejengeka kisaikolojia kuwa mwanamke ndio wa kumstarehesha mumewe..... Mwanamume amesahau kabisa kuwa na mwanamke pia anatakiwa kustarehe.Asante kwa nyongeza. atakuwa kaisha fahamu ngoja akafanye training atuletee mrejesho.