Hatuachan asilani, mie na wee bani bani
Tunajifungia ndani , kuingia mapenzini.
Kufurahi moyoni, kustareheka mwilini.
Kunyonyana Vinywani, kubusiana mashavuni.
Kulambana shingoni, kutomasa mbavuni
Kufikia kitovuni, Kuzunguka kiunoni,
kufuatia mapajani, Kuishia kwa chini.
Kuingia mchezoni, kuburudika tendoni.
Enjoy n relaaaaaaax. Huhuhuhuh