Mke anadai tuachane mara kwa mara

Maisha ni yakwenu nyie wawili,hamkulazimishwa wala kushauriwa na mtu muishi pamoja,kwa hiyo maamuzi ya yote yapo kwenu,uamue kusuka au kunyoa,unavyoomba ushauri juu ya hilo haifai,kwani wewe ulishauriwa na nani kumuoa
 
Wee Kiboko. Msimamo na ugumu vinahusika sana

Kuna wanawake nshawaona wa aina hiyo he he he ngoja ncheke kwanza mmoja ni mke wa cazn angu
kazaa mtoto mmoja mara siku moja wamepishana nini sijui
mwanamke Kaaga anaenda kwao akaulizwa utarudi lini kwa nyodo etii baada ya mwaka
mwanaume kakubali kamfungashia na zawadi apeleke home akamwambia kama umeamua kuondoka usirudi tena kwangu
haujaisha hata mwezi kajirudisha siku hiyo kalazwa kwenye chumba cha hausigelo
asubuhi kaambiwa asepe anahangaika tu mtaaani kila mtu ana mtuma akamuombee msamaha
mme hata hashtuki
 
Hahhaaaaa. nimechekajeeee!!!

Huyo alikosea namba.... hio namba haibipiki hiyo.. hahah ila huyo Kidume alitakiwa amrejeshe baada ya kumpa somo aisee..!!

Kuna wengine wajanja sana... hawabipu kienyeji enyeji tu.. anakaa anakuchora anakumaliza.. akibipu usipopokea IMEKULA.
 
asee hiyo kali wakati mwingine kutikisa kiberiti hovyo sana yan! na mara nyingi hutokea mwanamke akijua anapendwa sana sijui ni kujisahau ama ni kujiamini kupita kiasi ah!
 
Pole, nadhani wewe utakuwa busy sana na kazi. Jaribu mje mtoke mwende japo hata kuspend time nje ya home (mfano zanzibar etc) then ukifika huko ongea naye umuulize kwa nini anakauli hiyo. Yeye ndiye mwenye majibu ila ukituuliza sisi tutaguess!
 
Umeshauriwa vya kutosha mkuu!!!!!

Ila ujue mwanaume hatishwi kila baada muda fulani cha maana kuwa na maamuzi na wewe!!!!!!!
Halafu hii kudeka kila saa ooonh nampenda sana sijui nini isije kuwa ndio tabia yako hata nyumbani ati!!!!!
Ushaoa kuwa mume sasa mambo ya boyfriend achana nayo!!!!!
Wakati anakutishia we kaongee na babake kabisa kuwa anytime mtoto wake atarudi sababu amekuwa anasisistiza sana kuondoka kwako so siku akimuona asisituke then usitoe maelezo yoyote, ataitwa kwao na kuulizwa na kama akirudia na kwao maneno hayo basi jua huna chako!!!
 
Pole, nadhani wewe utakuwa busy sana na kazi. Jaribu mje mtoke mwende japo hata kuspend time nje ya home (mfano zanzibar etc) then ukifika huko ongea naye umuulize kwa nini anakauli hiyo. Yeye ndiye mwenye majibu ila ukituuliza sisi tutaguess!

Khaaa vacation ni starehe sio kwenda na mtu usiyekuwa na uhakika naye je akisisitizia huko kuwa kweli hataki huyu jamaa si atajitosa Nungwi!!!!!

Amrudishe madhabahuni kama vipi na amuulize just once kama alivyokubali wakati wa ndoa na amuambiea wakitoka hapo new life should begin either married or whatever
 

Kisaikolojia kuna vitu vingine huwezi pata majibu mpaka mtu awe mazingira fulani (hasa wanawake). Na anapomuambia mtoko si lazima amuambie waende wakayazungumuzie nje bali ni just ni mtoko
 
asee hiyo kali wakati mwingine kutikisa kiberiti hovyo sana yan! na mara nyingi hutokea mwanamke akijua anapendwa sana sijui ni kujisahau ama ni kujiamini kupita kiasi ah!

Hata sio ishu hizo ni ufala tu....
 

Jamaa hata hana time
mtu kazi hana na ana mtoto mdogo anakoma na mji shauri ake

he he he another woman usinichoke na huu umbea, ye alijishaua kutoroka kwa mmewe
kumbe huwa anatoroka mme anamtafuta anamrudisha
last time katoroka mme kauchuna ikabidi awatafute majirani ajue kulikoni mbona sahivi hatafutwi
majrani wakamwambia " mme anataka amrudishe mtoto nyumbani afu ye abaki huko alipo"
jicho lilimtoka mbona alikopa nauli akarudi kwa mme wake nyambaffff kabisa
 
Kisaikolojia kuna vitu vingine huwezi pata majibu mpaka mtu awe mazingira fulani (hasa wanawake). Na anapomuambia mtoko si lazima amuambie waende wakayazungumuzie nje bali ni just ni mtoko

Watu wengine kama mimi asee ukizingua you will get a sandpaper massage!!!!!!
 
we got married in Dar, 2012. I am her husband please

Kuwa mume wake halali hakuhalalishi wewe kufanya mawasiliano na mwanamke mwingine brother, jichunguze wewe kwanza wawezakuwa tatizo la yeye kutaka muachane. Nawatakia ndoa yenye furaha.
 
 

ba nso chukua ushauri hapo juu wa Tized hapo juu. Ukiendelea kumbembeleza atakusumbua sana. Siku akikwambia anataka kwenda mwambie sawa we nenda tu mi sina tatizo. Na akifungasha wewe mwache aende. Lakini nakuhakikishia lazima atarudi mwenyewe na hatakaa akusumbue tena.

Nina uzoefu na hicho ninachokuambia ama alichosema TIZED
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa... sio ndio maana huwa mnatuonea sana linapokuja lile swala la Papuchi?

Kwa maana wanaume wanaonekana wapo deperate sana na hio kitu mwanamke anamringia.

Fundi ujenzi mmoja alikua anatupa kisa chake na mkewe akasema alioa mke kule kijijini akamleta mjini. mkewe akabana bana hela ya matumizi na nyingine nyingine akacheza kamchezo gani sijui unaitwa kibati na majirani zake.. ilipofika zamu yake akapokea laki NNE na nusu... kilichofuatia akamwambia mumewe ''sikutaki tena narudi nyumbani' Mume akajua kiburi ni hako kahela maana alikua hajawahi kushika hela nyingi ivo... akamwambia nenda mama. wapi na wapi baada ya wiki mbili kaja kumlilia mumewe? maana vile vihela alienda kujidai kuweka jina kijijini fasta zimeshakauka. kwa kuwa mumewe alikua keshajua ni ulimbukeni wa hela unamsumbua.. akampokea mkewe bahati mbaya jamaa amefariki mwaka jana.

Wanawake hamtabiriki aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…