Mke ana VVU mume hana. Naomba ushauri

Mke ana VVU mume hana. Naomba ushauri

Bikra?
Damu ni Damu.
Acha ujinga unataka utuharibie watoto Kenge wewe
Ona jinsi akili yako ilivyokuwa fupi.. Kwa hiyo watoto pekee nd'o wenye bikra?

Hujawahi kukutana na msichana wa 20+ mwenye bikra?

Ngedere wa mwisho wewe.
 
Umeandika kitu cha umuhimu sana ,ila hakuna aliekinote

Humu wanadanganyana tuuu mara group O ...sijui hagawi gemu,

Hawajui DISCORDANT COUPLE.....nikitulia nitawachambulia hii ishu inakuwaje,na wanatakiwa kufanya nini
Bro tuandikie JF ni kisima cha Maarifa.
 
Ona jinsi akili yako ilivyokuwa fupi.. Kwa hiyo watoto pekee nd'o wenye bikra?

Hujawahi kukutana na msichana wa 20+ mwenye bikra?

Ngedere wa mwisho wewe.
Ngedere wewe,ukoo wenu na makaburi ya kwenu,
Kima wa Pinki wewe.
Unaulizaje swali la kijinga kama hilo?
MXxxxxw
 
We mbwa naona unawashwa sio! hilo swali uliulizwa wewe hapa. Kiherehere na shobo zako si ndo zimekufanya udandie treni kwa mbele.

Kama unatafuta Top humu sio mahala pake.

Pungasese wewe!
Kunya Boga kama wewe mjanja mattercore yahko
 
Anatoa game vizuri tuu,mpaka ndugu tukaingilia kati kuwa wawe wanatumia Kinga na sidhani kama wanatekeleza.
Nyie ni miongoni mwa ndugu wajinga wajinga kwanini mnaingilia faragha za watu wazima yaani sipendi madungu ya dizaini yenu
 
Back
Top Bottom