Ni vijana ndugu zangu wameingia kwenye ndoa mwaka jana ila hawakupima afya.
Sasa mke amepata ujauzito na walipokwenda kupima kama inavyotakiwa clinic mke ameonekana ana maambukizi ya vvu. Kwa Upendo walionao Mume hataki kumuacha mke na wanataka kuendelea kuishi pamoja.
Je, waishi vipi kwa usalama wa wote na mtoto pia. Ni true story na kijana amekuja kuniomba ushauri nimemwambia aje Jumapili mchana.
Karibuni Ndugu wanajf.