Yesualiniitanjoo
Member
- Feb 13, 2023
- 15
- 18
Salaam ndugu wakuu.
Kichwa cha habari chahusika hapo juu.Tunafahamu kwa uhakikika kuwa zama hizi zimekuwa na watumishi kwenye huduma ya ki nabii.
Sasa nimeletewa case moja, mwanamke ana nabii anayemwamini, na mme naye hivyo hivyo ana nabii wake, ila kila nabii pia ana changamoto zake ambazo kila mmoja wa wapenzi anazotumia kum disqualify nabii wa mwenzake.
Mfano nabii wa mke anatuhumiwa kuvunja ndoa ya mshirika wa nabii wa mme, nabii wa mme anatuhumiwa kutaka kuabudiwa yaani akiingia kanisani msimame nyoote na kama kumwabudu kama mjuavyo.
Ninaomba ushauri wenu ndugu zangu.
Hali inatishia amani.