Mke ana nabii wake na mme ana nabii wake,kila mmoja hataki nabii wa mtu mwingine

Feb 13, 2023
15
18
Salaam ndugu wakuu.

Kichwa cha habari chahusika hapo juu.Tunafahamu kwa uhakikika kuwa zama hizi zimekuwa na watumishi kwenye huduma ya ki nabii.

Sasa nimeletewa case moja, mwanamke ana nabii anayemwamini, na mme naye hivyo hivyo ana nabii wake, ila kila nabii pia ana changamoto zake ambazo kila mmoja wa wapenzi anazotumia kum disqualify nabii wa mwenzake.

Mfano nabii wa mke anatuhumiwa kuvunja ndoa ya mshirika wa nabii wa mme, nabii wa mme anatuhumiwa kutaka kuabudiwa yaani akiingia kanisani msimame nyoote na kama kumwabudu kama mjuavyo.

Ninaomba ushauri wenu ndugu zangu.

Hali inatishia amani.
 
Ulisikia wapi eti nabii au mchungaji anauza mafuta na maji kwa kondoo wake? Ulisikia wapi?
 
Kwa nini ifikie mtu awe na nabii wake,wanachotakiwa watafute maarifa yalioko kwenye neno la Mungu,hayo ya mtu kuwa na nabii wake kama mganga wa kienyeji huo ni upotevu tu...
 
Kusimama siyo shida hata wewe watu wanaweza kusimama kwa ajili yako wakati wako ukifika, shida iko kwenye kuvunja ndoa na kutaka kuabudiwa.
 
Salaam ndugu wakuu.

Kichwa cha habari chahusika hapo juu.Tunafahamu kwa uhakikika kuwa zama hizi zimekuwa na watumishi kwenye huduma ya ki nabii.

Sasa nimeletewa case moja, mwanamke ana nabii anayemwamini, na mme naye hivyo hivyo ana nabii wake, ila kila nabii pia ana changamoto zake ambazo kila mmoja wa wapenzi anazotumia kum disqualify nabii wa mwenzake.

Mfano nabii wa mke anatuhumiwa kuvunja ndoa ya mshirika wa nabii wa mme, nabii wa mme anatuhumiwa kutaka kuabudiwa yaani akiingia kanisani msimame nyoote na kama kumwabudu kama mjuavyo.

Ninaomba ushauri wenu ndugu zangu.

Hali inatishia amani.
Salaam ndugu wakuu.

Kichwa cha habari chahusika hapo juu.Tunafahamu kwa uhakikika kuwa zama hizi zimekuwa na watumishi kwenye huduma ya ki nabii.

Sasa nimeletewa case moja, mwanamke ana nabii anayemwamini, na mme naye hivyo hivyo ana nabii wake, ila kila nabii pia ana changamoto zake ambazo kila mmoja wa wapenzi anazotumia kum disqualify nabii wa mwenzake.

Mfano nabii wa mke anatuhumiwa kuvunja ndoa ya mshirika wa nabii wa mme, nabii wa mme anatuhumiwa kutaka kuabudiwa yaani akiingia kanisani msimame nyoote na kama kumwabudu kama mjuavyo.

Ninaomba ushauri wenu ndugu zangu.

Hali inatishia amani.
Kwanza tuanze na hapo, unajua maana ya Nabii, na wanapatikana vipi?
 
Salaam ndugu wakuu.

Kichwa cha habari chahusika hapo juu.Tunafahamu kwa uhakikika kuwa zama hizi zimekuwa na watumishi kwenye huduma ya ki nabii.

Sasa nimeletewa case moja, mwanamke ana nabii anayemwamini, na mme naye hivyo hivyo ana nabii wake, ila kila nabii pia ana changamoto zake ambazo kila mmoja wa wapenzi anazotumia kum disqualify nabii wa mwenzake.

Mfano nabii wa mke anatuhumiwa kuvunja ndoa ya mshirika wa nabii wa mme, nabii wa mme anatuhumiwa kutaka kuabudiwa yaani akiingia kanisani msimame nyoote na kama kumwabudu kama mjuavyo.

Ninaomba ushauri wenu ndugu zangu.

Hali inatishia amani.
Kusimama ni muhimu haina uhusiano na kumuabudu nabii. Hata sisi Wakatoliki ibada inaanza kwa kusimama na Padre kuingia altareni.

Familia ikiingia kwa hawa watumishi wenye makanisa binafsi ni swala la muda tu lakini lazima mje kusambaratika na imetokea kwa wengi.

Hawa watumishi binafsi ni vizuri kuwasikiliza, kujifunza baadhi ya maarifa lakini si salama kubeba familia yako yote na kuiweka huko. Ukiacha changamoto zingine zote lakini hata watoto wakikua, kujitegemea na kutawanyika unawapa mtihani wa kuwa na uwezo wa kuchagua wasali wapi!

Bora ubakie huko RC, KKKT, Anglican, Morovian n.k pawe msingi wa kifamilia then huko kwingine kama unahitaji sana iwe occasionally. Uzuri ukibaki Kanisani kwako unakuwa huru kusikiliza yeyote na kupima kile kinachokufaa.

Kuweni makini mno mno na huduma za kinabii, ni huduma hatarishi kwa mwenendo wake na yumkini wanaotumikia Mungu kweli ni wachache kwa kiwango ambacho ni hatari kubaini aliye mteule kweli.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom