Mke afya OK, mume low sperm count - ushauri please

Wala usikate tamaa broo,,, kwanza hongera kwa kuwa muwazi...hilo limepitia hata mie, ndani ya 7yrs, now we have 2 kids, thnx God.... Sijajua baada ya hivyo vipimo daktari wako alikushauri vipi? hujaweka wazi hilo.... muhimu ni mlo... glass ya maziwa fresh daily, karanga mbichi, supu if u can afford daily....pombe punguza kama watumia...sigara wacha kabisa , kama wasmoke (mm ndo nilipoacha sigara kabisa), then zingatia na mikao wen mko faragha... coz kuna mikao shots zinaenda faster, pia baada ya miezi 3 nenda kapime tena uone kama ur sperm upgraded.... u will succed,,, .. Nimepita hali hiyo na ninachokwambia nime-experience myself....kila na kheri man...
 
tanzania huduma ya IVF ipo. Hospitali ipo karibu na Mikocheni (sijui ndo barabara ya cocacola kama sikosei).

na huduma ya ivf inawahusu hata wenye low sperm count. kinachokuwa monitored ni zile homoni kwa mama ambaye hana tatizo apewe dozi ndogo. then wakishavuna mayai wanayarutubisha na kuyarudishia.

[h=3]Is in vitro fertilization for you?[/h]IVF can help you conceive if you have ovulation problems or blocked fallopian tubes, if your partner has a low sperm count, or if other methods of treatment have been unsuccessful.
[h=3]Treatment: What to expect[/h]

Video
[h=2]Inside pregnancy: Fertilization[/h]

Sperm make an impressive journey through the woman's body. See the moment of conception.

Inside pregnancy: Fertilization
See all videos

Near the beginning of your menstrual cycle, you'll take a fertility drug that stimulates your ovaries to develop several mature eggs for fertilization. (You normally release only one egg a month.) You may also need to take a synthetic hormone called Lupron to keep your body from releasing your eggs too early.

You'll visit your doctor's office or clinic often so she can monitor your blood hormone levels and take ultrasound measurements of your ovaries to detect when your eggs are mature. Once your eggs are mature, your doctor will give you an anesthetic and remove your eggs from your ovaries by inserting a needle through your vaginal wall, using ultrasound for guidance. Your doctor will then combine your eggs with your partner's sperm in a dish in a laboratory.

Two to five days later, each of your fertilized eggs will be a ball of cells called an embryo. Your doctor will place two to four of the embryos in your uterus by inserting a thin catheter through your cervix. Extra embryos, if there are any, may be frozen in case this cycle doesn't succeed.

If the treatment works, an embryo will implant in your uterine wall and continue to grow into a baby. In just over 30 percent of IVF pregnancies, more than one embryo implants and women give birth to multiples.) You'll be able to take a pregnancy test about two weeks after your embryos are placed in your uterus.
[h=3]Length of treatment[/h]It takes about four to six weeks to complete one cycle of IVF. You'll have to wait a few weeks for your eggs to mature. Then you and your partner will spend about half a day at your doctor's office or clinic having your eggs retrieved and fertilized. You'll need to go back again two to five days later to have them inserted into your uterus, but you'll be able to go home that same day.

sosi :babycentre

Huyu haitaji IVF.mkewe ni mzima wa afya.IVF inafanyika kama mama hawezi kutunza mimba.IVF maana yake ni kwamba yai la mama linarutubishwa na mbegu za kiume nje ya mwili wa binadamu(chupa).hapa tanzania haifanyiki, waliopo ni agent wa hospitali za nje.ukiwalipa wanachukua commission yao halafu wana google na kukushauri hospitali ya kwenda.
 
Pole sana kaka, ila wewe ni mwanaume jasiri sana nakupongeza and keep it up. Ni wanaume yawezekana asilimia 5 tu ndio wanaweza kukubali kuwa wao ndio wana matatizo, mara nyingi wanawake ndio wanalaumiwa kuwa wao hawazai.

Nakushauri pamoja na kuwaona Madaktari, muombe Mungu maana yeye ni Daktari bingwa wa madaktari bingwa, Mungu atakupa tu watoto, angalia watumishi mbalimbali ambao wameshakaa zaidi ya miaka 10 katika ndo na wamepata watoto kwa kumuomba Mungu. Soma YEREMIA 27.32 yeye hakuna analoshindwa, na nakuhakikishia ukiomba kwa imani utapata watoto
 
Wala usikate tamaa broo,,, kwanza hongera kwa kuwa muwazi...hilo limepitia hata mie, ndani ya 7yrs, now we have 2 kids, thnx God.... Sijajua baada ya hivyo vipimo daktari wako alikushauri vipi? hujaweka wazi hilo.... muhimu ni mlo... glass ya maziwa fresh daily, karanga mbichi, supu if u can afford daily....pombe punguza kama watumia...sigara wacha kabisa , kama wasmoke (mm ndo nilipoacha sigara kabisa), then zingatia na mikao wen mko faragha... coz kuna mikao shots zinaenda faster, pia baada ya miezi 3 nenda kapime tena uone kama ur sperm upgraded.... u will succed,,, .. Nimepita hali hiyo na ninachokwambia nime-experience myself....kila na kheri man...
Asante sana kwa neno lako la faraja. Experience hii wakati mwingine ni mzigo mkubwa sana moyoni lakini ni Kumshukuru Muumba kwa kila jambo maana ndio dunia. Ushauri wa daktari alisema njia inayoweza kutusaidia ni ICSI na akasema ni mpaka Pakstani, Israel au Kenya na inagharim si chini ya dola 18,000 mpaka 20,000. Nilichoka na kuhisi kuzimia maana mimi ni muajiriwa wa kawaida tu.
 
kuna kitu inaitwa Artificial insemination.....bali ni very expensive, na sidhani kama Tz wanafanya.......kaka cha kukushauri, jaribu kutumia dawa za asili..but usiende kwa waganga wa kienyeji wala waganga wanaojitangaza wala kunywa madawa yao.....badilisha misosi, kula ile yenye protein za kutosha....pia jaribu kutofanya mapenzi na mkeo kwa muda wa siku kumi na nne...huku ukifanya yafuatayo:
1. kula chakula chenye wingi wa protein
2. kunywa supu ya korodani za mbuzi, pamoja na kumeza korodani za mbuzi...mara moja kwa siku kwa huo muda wa siku 14
3. kila baada ya siku tatu, ndani ya hizo siku 14 huku ukiendelea na hiyo dozi ya korodani za mbuzi, chukua korodani za jogoo wa kienyeji aliyekomaa, hakikisha wakati unayatoa hayajagusana na damu, meza na maziwa....ukipata kitu kinaitwa HABBAT SODA...unaweza kupaka mayai hayo, na ukanywa na maziwa.....
hizo korodani na mayai unayaweza pata machinjioni,au ukaagiza watu wakakutafutia, unaweka order kwa wauzaji nyama choma za mbuzi, na kuku wa kienyeji......em jaribu hiyo, kama utapenda, afterall, hautopoteza kitu, koz its very less expensive...then baada ya hizo siku 14, kutana na mkeo...ila itabidi hiyo siku mtakayokutana, iwe ni siku ambayo mkeo anaweza kushka mimba......ukifanikiwa, nitumie msg plz...........pole, watoto ni majaliwa........endelea kumuomba na Mungu wako pia.......Mungu wa wawakristo ni muaminifu......atakujibu tu, huwa hawai wala hachelewi..atakujib kwa wakati wake

Hii dozi itabidi mtu ainywee gizani kwani hukawii kuitwa mwanga bure...

Babu DC!!
 
Pole sana kaka, ila wewe ni mwanaume jasiri sana nakupongeza and keep it up. Ni wanaume yawezekana asilimia 5 tu ndio wanaweza kukubali kuwa wao ndio wana matatizo, mara nyingi wanawake ndio wanalaumiwa kuwa wao hawazai.

Nakushauri pamoja na kuwaona Madaktari, muombe Mungu maana yeye ni Daktari bingwa wa madaktari bingwa, Mungu atakupa tu watoto, angalia watumishi mbalimbali ambao wameshakaa zaidi ya miaka 10 katika ndo na wamepata watoto kwa kumuomba Mungu. Soma YEREMIA 27.32 yeye hakuna analoshindwa, na nakuhakikishia ukiomba kwa imani utapata watoto
Hakika umesema vema sana. Ubarikiwe ndugu yangu.
 
Asante sana kwa neno lako la faraja. Experience hii wakati mwingine ni mzigo mkubwa sana moyoni lakini ni Kumshukuru Muumba kwa kila jambo maana ndio dunia. Ushauri wa daktari alisema njia inayoweza kutusaidia ni ICSI na akasema ni mpaka Pakstani, Israel au Kenya na inagharim si chini ya dola 18,000 mpaka 20,000. Nilichoka na kuhisi kuzimia maana mimi ni muajiriwa wa kawaida tu.

Mbona mkuu hujatwambia kuwa so far umechukua hatua gani??

Male infertility ina uhusiano mkubwa na life style...

Kwa vile wewe hutoi mapovu tu...you have some sperms, siyo sawa na bure. Nilitegemea kusikia kama umejaribu njia ambazo ni rahisi kabla ya kwenda kwenye expensive medical procedures.

Samahani, naomba utupe updates kwanza,

Babu DC!!
 
Kwani ni uongo??

Mwanamume wa kiafrika asipozaa wadau wanamsaidia na kitanda hakizai haramu...

Umekubali sasa??

Babu DC!!
Signature yangu inasomeka kudharau imani ya mtu mwingine ni upumbavu. Hivyo mimi pia sitadharau unachoamini wewe ndugu yangu, isipokuwa tu angalizo liko kwenye kutoenda kinyume na imani ya kikristo. asante
 
Umesoma post niliyoijibu mkuu??

Haikuwa na uhusiano na issue yako labda kama unataka maoni yangu kuhusu hilo..

Babu DC!!
 
Mbona mkuu hujatwambia kuwa so far umechukua hatua gani??

Male infertility ina uhusiano mkubwa na life style...

Kwa vile wewe hutoi mapovu tu...you have some sperms, siyo sawa na bure. Nilitegemea kusikia kama umejaribu njia ambazo ni rahisi kabla ya kwenda kwenye expensive medical procedures.

Samahani, naomba utupe updates kwanza,

Babu DC!!
Asante kwa kuhusika kwako. Kwa ujumla life style yangu naiconsider kuwa ya kawaida, sivuti sigara wala sijawahi kunywa kileo cha aina yoyote. Na mpaka sasa bado sijachukua hatua yoyote ya matibabu zaidi mara baada ya daktari kusema habari za Israel ndo nikaona nipite humu palipo na wengi kusikia busara zao ndugu yangu.
 
Tatizo la low sperm count sio issue kubwa mdau, unahitaji tu upate mtaalamu akushauri ikiwemo kupata historia yako. Kama hakukuwa na tatizo huko nyuma low sperm count inaweza ikatibiwa hata na diet tu. So tafuta daktari wa kueleweka na soon utabeba a bouncing baby boy!
 
Asante kwa kuhusika kwako. Kwa ujumla life style yangu naiconsider kuwa ya kawaida, sivuti sigara wala sijawahi kunywa kileo cha aina yoyote. Na mpaka sasa bado sijachukua hatua yoyote ya matibabu zaidi mara baada ya daktari kusema habari za Israel ndo nikaona nipite humu palipo na wengi kusikia busara zao ndugu yangu.

Ahsante na wewe kwa majibu yako,

Binafsi siyo mpenzi wa high level medical procedures. Napendelea kuanza na conservative therapy.

Hebu pitia kwenye hii website na kisha tueleze kwamba diagnosis uliyopewa ni ipi??

Kwani tunaweza kuendelea na ushauri wa lishe au kubadilisha life style wakati tatizo lako linahitaji surgery au matumizi ya dawa.

Low Sperm Count & Low Sperm Count Treatment

Nakushauri pia utumie muda mwingi kujisomea kwenye mitandao ili upate uelewa mpana wa tatizo lako. Endapo utakutana na maneno magumu unaweza kuyaangalia kwenye medical dictionary (Merriam-Webster Online). Kuna watu kibao wamepata tiba ya matatizo yao kwa kujifanyia utafiti wenyewe.

asante. Nitaleta mrejesho.
 
naomba ushauri kama kuna mwenye experience au amewahi kusikia options ambazo ni productive. Mimi na mke wangu tuna miaka 4 sasa ya ndoa ya kikristo bila mtoto. Tumefanya vipimo vyote vya afya ya uzazi imeonekana mimi nina low sperm count na mke wangu hana tatizo lolote. Tendo la ndoa tunafanya kama kawaida bila shida yoyote na ndoa haina migogoro yoyote pamoja na hali hiyo lakini tunapenda sana kupata mtoto. Ushauri tafadhali kama kuna njia yoyote ya asili (natural) isiyoenda kinyume na imani ya kikristo.

mkuu kwanza nakupa hongera kwa ujasiri ingawa sie tulienda kuuliza kisirisiri;hilo si tatizo kwa mungu unaemwamini;binafsi nilisimama na mungu na kumpa moyo mamaa kwamba yupo yesu anaeweza tukawa tukisali kwa kutaja manneno ya baibo ntakupa kesho;baada ya miezi sita akatokea mtu tukapelekwa opp na mkwajuni kwa prof mgaya usiogope bei kituon njia ya kwenda posta after namanga baada ya kupi;ma akanipa dawa na vit e ilinichukua miezi mitatu kuitwa baba twins kamata upako huu cha maana muwekitukimoja na mkeo
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Ni mzee wa busara anawaelekeza hata dizain na aina ya mikao mkiwa shugulini afichi wala kupepesa macho MUngu azidi kufungua kila anaetafta mtoto jf na nje ya jf baada ya miezi niliitwa baba doto na kula MUNGU AKAONDOE MACHUNGU KATI YENU AKAWAAIBISHE MAADUI ZENU NA KUMPA NUVU MKEO NASHUKURU WANGU ALIKUWA AKIFWATANA NA MIMI KILA NILIPOKWENDA KUPIMA KUNA MASHARTI ULIWEZA ACHA LIKIWAMO POMBE CHAFU NGONO CHAFU SIO UNAMWAGA NJE KILA SIKU UNAKUJA USIKU KUTAFTA MIMBA MKEO SIO MACHINE YA KUTOTOLEA NI MTAMBO UNAOITAJ LADHA NA STAREHE ZA DUNIAN SIKUSEM MKUU N KWA WALE WENYE TABIA HIZO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom