Mke afya OK, mume low sperm count - ushauri please | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke afya OK, mume low sperm count - ushauri please

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by dotnet, Mar 19, 2013.

 1. dotnet

  dotnet JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2013
  Joined: Mar 5, 2013
  Messages: 394
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Naomba ushauri kama kuna mwenye experience au amewahi kusikia options ambazo ni productive. Mimi na mke wangu tuna miaka 4 sasa ya ndoa ya kikristo bila mtoto. Tumefanya vipimo vyote vya afya ya uzazi imeonekana mimi nina low sperm count na mke wangu hana tatizo lolote. Tendo la ndoa tunafanya kama kawaida bila shida yoyote na ndoa haina migogoro yoyote pamoja na hali hiyo lakini tunapenda sana kupata mtoto. ushauri tafadhali kama kuna njia yoyote ya asili (natural) isiyoenda kinyume na imani ya Kikristo.
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Mar 19, 2013
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 71,439
  Likes Received: 30,493
  Trophy Points: 280
  Wewe nenda ukapate ushauri wa urologist aliye-specialize kwenye male infertility.

  Zipo njia za ku-extract sperm na kuzitumbukiza ndani mwa mkeo na mimba ikatungika.
   
 3. dotnet

  dotnet JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2013
  Joined: Mar 5, 2013
  Messages: 394
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Asante Nyani Ngabu, hata TZ specialist kama huyo anapatikana wapi, unaweza kuwa na idea?
   
 4. spartacus

  spartacus JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2013
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kuna kitu inaitwa Artificial insemination.....bali ni very expensive, na sidhani kama Tz wanafanya.......kaka cha kukushauri, jaribu kutumia dawa za asili..but usiende kwa waganga wa kienyeji wala waganga wanaojitangaza wala kunywa madawa yao.....badilisha misosi, kula ile yenye protein za kutosha....pia jaribu kutofanya mapenzi na mkeo kwa muda wa siku kumi na nne...huku ukifanya yafuatayo:
  1. kula chakula chenye wingi wa protein
  2. kunywa supu ya korodani za mbuzi, pamoja na kumeza korodani za mbuzi...mara moja kwa siku kwa huo muda wa siku 14
  3. kila baada ya siku tatu, ndani ya hizo siku 14 huku ukiendelea na hiyo dozi ya korodani za mbuzi, chukua korodani za jogoo wa kienyeji aliyekomaa, hakikisha wakati unayatoa hayajagusana na damu, meza na maziwa....ukipata kitu kinaitwa HABBAT SODA...unaweza kupaka mayai hayo, na ukanywa na maziwa.....
  hizo korodani na mayai unayaweza pata machinjioni,au ukaagiza watu wakakutafutia, unaweka order kwa wauzaji nyama choma za mbuzi, na kuku wa kienyeji......em jaribu hiyo, kama utapenda, afterall, hautopoteza kitu, koz its very less expensive...then baada ya hizo siku 14, kutana na mkeo...ila itabidi hiyo siku mtakayokutana, iwe ni siku ambayo mkeo anaweza kushka mimba......ukifanikiwa, nitumie msg plz...........pole, watoto ni majaliwa........endelea kumuomba na Mungu wako pia.......Mungu wa wawakristo ni muaminifu......atakujibu tu, huwa hawai wala hachelewi..atakujib kwa wakati wake
   
 5. T

  Tetra JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2013
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  ::
  Fuata yafuatayo
  ::
  Angalia chakula anachokula,,chakula cha asili kama ngano,uwele,mtama,ufuta,mafuta ya alizeti maji mengi ya kunywa,n.k yanaweza kuimarisha nguvu ya sperm
  ::
  Nenda kwa daktari mwenye taaluma husika atakusaidia.Na topic hii ukihamishia JF DOCTOR unaweza kupata msaada.
  =
   
 6. s

  sapiesia Member

  #6
  Mar 19, 2013
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Just take Anoyting Water from T.B Joshua and believe
  in Jesus Christ
   
 7. A

  A wa kiala Member

  #7
  Mar 19, 2013
  Joined: Mar 16, 2013
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  zaid ya hayo kama watumia ugali basi jaribu wa dona ulochanganywa mtama na ulez kias.ni tiba pia
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2013
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,418
  Likes Received: 5,685
  Trophy Points: 280
  IVF inapatikana tanzania....ila success rate yake sijui.....pia ni probability ila inacost haswa kama $8,500 ingawa nasikia IVF nairobi ndo cheap

  cc Riwa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. J

  Juma123 Senior Member

  #9
  Mar 19, 2013
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 193
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Jaribu products za foreverling, vile vile mwone Prof Mgaya huwa yuko good
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2013
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,133
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 160
  Nimekupa heshima.

  Wanamme wachache wanakubali kusema wana matatizo ya uzazi.

  Nakutakia mafanikio kwenye tiba yako.
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2013
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,133
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 160
  Mgaya yule gyno? Huyu nadhani anatakiwa aone wa wanamme.

  Ila hata Mgaya anaweza mpa mwangaza zaidi.

   
 12. delusions

  delusions JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2013
  Joined: Jan 11, 2013
  Messages: 4,815
  Likes Received: 588
  Trophy Points: 280
  Kunywa supu ya pweza kutwa mara sita ndani weka karanga mbichi tangawizi na asali kunywa Maziwa lita mbili kwa siku Maziwa mabichi yasiyochemshwa kula mayonaise kwny mlo wako epuka kula vyakula vyenye mafuta hades chipsi yai kula maparachichi manne kwa siku. Kula korosho kunywa vitamin c na vitamin e kutwa Mara Tatu kula mkate wenye siagi abstain kwa siku saba kuelekea ovulation hakikisha ni kuanzia siku ya 13 kunywa maji mengi NA maOezi
   
 13. cute beiby

  cute beiby Senior Member

  #13
  Mar 20, 2013
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmmh, jeshi la mtu mmoja hapo !!!!!!!!

  Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
   
 14. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #14
  Mar 20, 2013
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,753
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  We, nani ale korodani za mbuzi? eti kula Korodani mbichi za jogoo na mtindi,kha, wacha nibaki na low sperm count zangu!
   
 15. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2013
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,753
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Kha mbona umemchanganya. Sasa dawa hapo ni ipi???
   
 16. M

  Maubero JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2013
  Joined: Feb 21, 2013
  Messages: 1,531
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ukienda hospitali wakakushauri jinsi ya kumeza vidonge vinavyoitwa CLOMIPHENE,sperm count itaongezeka.alternatively, pale maeneo ya mwenge, D'salaam kuna clinic wanafanya artificial insermination,yaani wanachukua mbegu zako na kuzipeleka moja kwa moja kwenye yai la mama kipindi ambacho yai linapevuka(ovulation).Sijui kama itapingana na imani yako,kwa kuwa kinachofanyika ni kukusaidia kuzifikisha mbegu zako kwenye yai la mama, kwa kuwa ukifanya tendo la ndoa huzifikishi kutokana na ujazo mdogo.
   
 17. M

  Maubero JF-Expert Member

  #17
  Mar 20, 2013
  Joined: Feb 21, 2013
  Messages: 1,531
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Huyu haitaji IVF.mkewe ni mzima wa afya.IVF inafanyika kama mama hawezi kutunza mimba.IVF maana yake ni kwamba yai la mama linarutubishwa na mbegu za kiume nje ya mwili wa binadamu(chupa).hapa tanzania haifanyiki, waliopo ni agent wa hospitali za nje.ukiwalipa wanachukua commission yao halafu wana google na kukushauri hospitali ya kwenda.
   
 18. M

  Maubero JF-Expert Member

  #18
  Mar 20, 2013
  Joined: Feb 21, 2013
  Messages: 1,531
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Treatment ya infertility inafanywa na gynecologists na sio urologists.Gynecologists ndiyo wanaosomea mambo ya infertility.Urologist anapata kazi inapotokea kwamba sababu ni obstructive uropathy, but with low sperm count hiyo tiba yake inafanywa na gynecologist.Professor mgaya is one of them.Tatizo la infertility limekuwa likiongezeka sana Tanzania, na hasa kwa vijana, nakupongeza kwa kuwa jasiri kujitokeza.Wanaume wanaoenda kliniki kwa shida hii ni wachache sana.
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Mar 20, 2013
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 71,439
  Likes Received: 30,493
  Trophy Points: 280
  Urologists wanatibu male infertility. Gynecologists mainly deal with female reproductive systems and diseases. Male infertility is the one at issue here.
  Source
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Mar 20, 2013
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 71,439
  Likes Received: 30,493
  Trophy Points: 280
  From The Urology Team in Austin, Texas.
   
Loading...