kuna kitu inaitwa Artificial insemination.....bali ni very expensive, na sidhani kama Tz wanafanya.......kaka cha kukushauri, jaribu kutumia dawa za asili..but usiende kwa waganga wa kienyeji wala waganga wanaojitangaza wala kunywa madawa yao.....badilisha misosi, kula ile yenye protein za kutosha....pia jaribu kutofanya mapenzi na mkeo kwa muda wa siku kumi na nne...huku ukifanya yafuatayo:
1. kula chakula chenye wingi wa protein
2. kunywa supu ya korodani za mbuzi, pamoja na kumeza korodani za mbuzi...mara moja kwa siku kwa huo muda wa siku 14
3. kila baada ya siku tatu, ndani ya hizo siku 14 huku ukiendelea na hiyo dozi ya korodani za mbuzi, chukua korodani za jogoo wa kienyeji aliyekomaa, hakikisha wakati unayatoa hayajagusana na damu, meza na maziwa....ukipata kitu kinaitwa HABBAT SODA...unaweza kupaka mayai hayo, na ukanywa na maziwa.....
hizo korodani na mayai unayaweza pata machinjioni,au ukaagiza watu wakakutafutia, unaweka order kwa wauzaji nyama choma za mbuzi, na kuku wa kienyeji......em jaribu hiyo, kama utapenda, afterall, hautopoteza kitu, koz its very less expensive...then baada ya hizo siku 14, kutana na mkeo...ila itabidi hiyo siku mtakayokutana, iwe ni siku ambayo mkeo anaweza kushka mimba......ukifanikiwa, nitumie msg plz...........pole, watoto ni majaliwa........endelea kumuomba na Mungu wako pia.......Mungu wa wawakristo ni muaminifu......atakujibu tu, huwa hawai wala hachelewi..atakujib kwa wakati wake