Mkataba wa UN kuhusiana na masuala ya ushoga, usagaji na kubadili jinsia

Naam. Ndio maana ya malezi. Tunawalea wanetu vizuri ili wasije tumbukia kwenye uhalifu wa aina zote.

Halafu ushoga sio maradhi wala maumbile, ni tabia. Ndio maana tunaupiga vita kwa sababu hauna faida yoyote.

Unaye mtoto wa kiume?
Hawa wanasiasa majambazi hawakupewa malezi bora? Chuki yako dhidi ya watu walioamua kwa utashi wao kuhusu sexuality yao ni matokeo ya malezi kutoka kwa wazazi wako? Stop this nonsense. Yes malezi bora ni muhimu lakini sio 100% foolproof dhidi ya mabadiliko ya tabia.

Oh malezi, what about kumfumba macho mwanao asione wavuta sigara maana bila hivyo huenda akaiga kama ambavyo akiwaona mashoga atawaiga... Na what about kumzuwia asiende shule ambako kuja uwezekano akakumbana na ulawiti?
 

Hahah we jamaa sijui una umri gani lakini unajenga hoja kitoto sana. Sorry to say so.

CHUKI? Yaani unaanza kutoa maneno makali kisa nimesimamia upande wa sheria zetu na jamii kutoruhusu vitendo vya ushoga? Hii sio chuki, ni kurejeshana kwenye mstari tu.

FYI, shule zetu pamoja na mambo mengine, zinasimamia tabia njema za wanafunzi. Ni sehemu ya malezi. Na ndio maana kuna shule jana ilifanya igizo la kishoga, serikali ikaingilia kati.

Unanichosha tu. Huna hoja!
 
Mkuu
Unamaanisha kuwakamata kwa kuwataja majina hadharani??????
Hapana, hiyo haikuruhusiwa.

Ndio maana Makonda akasema kama mtu anamfahamu mshukiwa yoyote, majina yake yatumwe privately kwake. Na namba ya simu akatoa.

Hata Konki Masta alivyoanza kutaja ile list, Makonda akampiga stop na aliitwa Polisi kuhojiwa.
 
Kinachokuchosha ni ushoga wako ambao unajaribu kuuficha kwa kupambana dhidi ya haki za mashoga wenzako. Mtaani tunasema "tabia za kishoga."
 
Hapana, hiyo haikuruhusiwa.

Ndio maana Makonda akasema kama mtu anamfahamu mshukiwa yoyote, majina yake yatumwe privately kwake. Na namba ya simu akatoa.

Hata Konki Masta alivyoanza kutaja ile list, Makonda akampiga stop na aliitwa Polisi kuhojiwa.
Hapo ndiyo anapokosea.
Utawezaje kumshuku mtu kuwa shoga na kumtuhumu? Yaani upigiwe simu kuwa mtu fulani ni shoga ili iweje?
Ashitakiwe kwa kifungu kipi cha sheria?
 
Hapo ndiyo anapokosea.
Utawezaje kumshuku mtu kuwa shoga na kumtuhumu? Yaani upigiwe simu kuwa mtu fulani ni shoga ili iweje?
Ashitakiwe kwa kifungu kipi cha sheria?
Ipo sheria inaitwa Sodomy law kama sikosei, inayokataza matendo hayo ya ushoga na ulawiti.

Kutuhumiwa ni jambo moja na kuhukumiwa ni jambo lingine.

Tuhuma sio hukumu. Ni shuku!
 
Ipo sheria inaitwa Sodomy law kama sikosei, inayokataza matendo hayo ya ushoga na ulawiti.

Kutuhumiwa ni jambo moja na kuhukumiwa ni jambo lingine.

Tuhuma sio hukumu. Ni shuku!
Na Waziri wa Mambo ya Ndani anaposema "mashoga Tanzania mpo salama" hafahamu kuhusu hiyo Sodomy Law?
 
Na Waziri wa Mambo ya Ndani anaposema "mashoga Tanzania mpo salama" hafahamu kuhusu hiyo Sodomy Law? View attachment 935805
Tatizo husomi na kufuatilia mjadala vizuri.

Kusema mashoga wako salama ni sawa kabisa. Wanatakiwa wawe salama kama binadamu wengine. Hata mtu anayeshitakiwa na kufungwa ana haki ya kuwa salama. Si unajua?
 
Tatizo husomi na kufuatilia mjadala vizuri.

Kusema mashoga wako salama ni sawa kabisa. Wanatakiwa wawe salama kama binadamu wengine. Hata mtu anayeshitakiwa na kufungwa ana haki ya kuwa salama. Si unajua?

Sasa kwanini unakimbilia kuhoji mikataba ya UN ilhali serikali yetu tukufu inasema wapo salama?
 
Ipo sheria inaitwa Sodomy law kama sikosei, inayokataza matendo hayo ya ushoga na ulawiti.

Kutuhumiwa ni jambo moja na kuhukumiwa ni jambo lingine.

Tuhuma sio hukumu. Ni shuku!
Tuhuma ni adhabu, na ushoga ni tofauti na sodomy.
Hapo ndipo usipoelewa
 
Tafuta (ICCPR); International Covenant on Civil and Political Rights. United Nations Treaty
Lakini uisome kwa umakini zaidi. Halafu msinikodolee macho mimi, sikuitunga au kuiandika.
 
Serikali imeshafunga mjadala, sasa kama wao wenyewe wamekiri kulinda haki za mashoga, maana yake hiyo mikataba wanayo, vinginevyo wangekana tu hakuna, ila kitendo cha kukubali maanayake huo upo kama vile wa mkataba wa makanikia.
 
Hebu ipitie yote vizuri hasa huo wa kwanza ukikuta neno "sexual orientation " ndio ushoga na usagaji vipo hapo, kwa kuwa unejitanabaisha kama msomaji nimekuachia kazi hiyo.

Ila jua ipo
 
Nadhani Mkuu una tatizo la kugeuzia wenzio kibao! Wengi humu Jf wako hivyo. Hasa wasiopenda facts zinazotolewa katika lugha wasiyoimudu!
Hoja iliyopo ni kwamba kila Binadamu ana haki za kuzaliwa. Maana yake ni kwamba ilmuradi ni binadamu anastahili kulindiwa haki hata kama ana kile wewe unachokiona kuwa ni mapungufu. Ukiwa mkristo unaweza ukaona mpagani ana mapungufu, ni maoni yako. Mpagani nae anaweza kuona mkristo ana mapungufu. Hayo ni maoni yake.
Sasa inapotokea kumnyima binadamu mwenzio haki za msingi chini ya sheria za nchi au za kimataifa kama International Covenant on Civil and Political Rights (ICCPR) dunia haitanyamaza. Ndio maana ya tamko la haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa la 1948. Kabla ya hapo utumwa au ukoloni ulikuwa 'halali' kwasababu kuna mataifa mengine waliona kuwa watu weusi sio binadamu kama weupe!
Hii ni 2018, miaka sabini tangu litolewe tamko la haki za Binadamu, msipojifunza au kuacha kubeza/kupuuza mambo haya kwakuwa yameandikwa kiingereza njaa na ubajaji utawatokea puani.
 
Ushoga ni nini? Elezea mana ya Ushoga Kwanzaa ili tuelewe vizuri.

unataka kujua ushoga ni nini KAMVULIE MTU SURUALI YAKO HALAFU UINAME MWAMBIE KAKA NIONYESHE USHOGA MAANA SIUELEWI WATAKUONYESHA UJE HAPA UTUAMBIE
 
Exactly!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…