Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,361
- 2,734
Wenzetu wakuwa macho 1966 walipo pata tu uhuru. WaTZ tumelala hadi leo miaka 50 baada ya uhuru.
Tutasubiri sana
Pembe 569 ni sawa na Tembo 284, kwanin Kinana hata kama sio zake hizo pembe asikamatwe akaeleza mteja wake ni nani??Sisi tunauza pembe za ndovu yani viongozi wa chama cha mapinduzi na serikali wanafanya biashara haramu tena kwa kuua tembo wetu na kutorosha wanyama hai, sizani kama wananchi watapewa nafasi ya kujua deal za ndani za wakubwa wasio hata na tone la huruma.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Katika kutafakari sababu za umaskini wa nchi yangu Tanzania, nikajikuta nashangaa hasa baada ya kuangalia raslimali zilizoko nchini hasa madini. Nikajiuliza wenzetu wa Botswana madini yao yanawafaidisha kuliko sisi hapa Tanzania tatizo ni nini? Nikaweza kupata mkataba mmojawapo wa uchimbaji madini kati ya Serikali ya Botswana na Muwekezaji (De Beers)
Kilichonifurahisha makubalinao ya uchimbaji na faida itokanayo na uuzaji wa almasi hiyo yalitangazwa ka Press Release kwa wananhci wote ili wajue kinachoendelea. Mkataba huo ninauweka hapa kama attachment View attachment 71535 ili kila mwenyekutaka kuusoma ausome pia nitaweka link.
http://www.debeersgroup.com/ImageVa...De_Beers_Sales_Agreement_Press_Release_-_.PDF
Baadhi ya maneno kwenye mkataba huo ni haya
1. Debswana is a 50/50 mining joint venture between Botswana and De Beers
2. Diamond Trading Company is the wholly-owned distribution arm of De Beers
3. Diamond Trading Company Botswana is a 50/50 sales joint venture between Botswana and De Beers
Nilifarijika kuona walau nchi inakomaa 50/50 na muwekezaji na kugundua kumbe inawezekana. Sasa naomba msaada mmoja kwa GT walioko hapa JF, mnitumie walau Press Release moja inayoonesha makubaliano kati ya muwekezaji mmojawapo nchini na inayoonesha asilimia ipatayo nchi kutokana na mauzo ya madini mojawapo kati ya yote tuliyonayo nchini. Asanteni
Huwezi kuzipata taarifa za tanzania kuhusu madini, utapata hasard za bunge na umbea mwingine mwiiingi usiokuwa na maana. Tusubiri jinamizi CCM lizeeke lenyewe ndo tuanze kupanga upya. Kwa sasa naona kama limeshindakana!! Linatumia gharama kuubwa kubakia madarakani!
At least you are a bad exampleKatika kutafakari sababu za umaskini wa nchi yangu Tanzania, nikajikuta nashangaa hasa baada ya kuangalia raslimali zilizoko nchini hasa madini. Nikajiuliza wenzetu wa Botswana madini yao yanawafaidisha kuliko sisi hapa Tanzania tatizo ni nini? Nikaweza kupata mkataba mmojawapo wa uchimbaji madini kati ya Serikali ya Botswana na Muwekezaji (De Beers)
Kilichonifurahisha makubalinao ya uchimbaji na faida itokanayo na uuzaji wa almasi hiyo yalitangazwa ka Press Release kwa wananhci wote ili wajue kinachoendelea. Mkataba huo ninauweka hapa kama attachment View attachment 71535 ili kila mwenyekutaka kuusoma ausome pia nitaweka link.
http://www.debeersgroup.com/ImageVa...De_Beers_Sales_Agreement_Press_Release_-_.PDF
Baadhi ya maneno kwenye mkataba huo ni haya
1. Debswana is a 50/50 mining joint venture between Botswana and De Beers
2. Diamond Trading Company is the wholly-owned distribution arm of De Beers
3. Diamond Trading Company Botswana is a 50/50 sales joint venture between Botswana and De Beers
Nilifarijika kuona walau nchi inakomaa 50/50 na muwekezaji na kugundua kumbe inawezekana. Sasa naomba msaada mmoja kwa GT walioko hapa JF, mnitumie walau Press Release moja inayoonesha makubaliano kati ya muwekezaji mmojawapo nchini na inayoonesha asilimia ipatayo nchi kutokana na mauzo ya madini mojawapo kati ya yote tuliyonayo nchini. Asanteni
At least you are a bad example
Kaka huo msumari uliopigilia ni wa moto, Magamba wakikuona lazima watakufanya kama walivyomfanya baba wa Taifa. And for sure kwa magamba you are a bad example but not to me..!Aya bhana