Mkasa wangu

Brother nimeamua kuachana nayo hii simulizi,watu wanauzi sana utazani wananilipa muda naopoteza kuandika hapa,see you next time..

Mabwiku nongwa wanazo wanawake. Endeleza story hiyo kaka. Hapa utapongezwa, utatukanwa kuna watu wa aina tofauti. Endeleza story watu tujifunze na maisha ya watu wengine na wengine wajifunze na makosa yetu.
 
HABARI;nimeamua kuachana na hii simulizi yangu sababu watu wanaona kama natunga ama naandika kitu ambacho ni hadithi,,siwezi kuwa mchowo kwa wote ila kama unaitaji mwendelezo zaid nicheki inbox ntakutumia usome kwa wakati wako,,niwatakie jion njema

Humu ndani hatujuani na kuna watu wakila namna..,jifunze kuvumilia pressure. story yako ni nzuri na wengi tungependa kuisikia hadi mwisho, hata ka ni ya kutunga si vibaya..,mbona watu tuna fatilia tamthiliya na zinatuvutia. so mkuu usijali kejeli za watu, we tupia story nzima.
 
Anayeshughulika nakupiga watu ban ni nani amuweke kizuizin huyu mtu...maana huu ni utoto uliochanganyikana na ujike ndani yake...huwezi taka watu wawe na mawazo kama yako...hii ni story unatoa na siyo majadala kuwa upate majibu...wewe weka story,habar ya mapozi kama unataka upate kuombwa nini sijui...huu ni utoto ulio na ujike ndan yake...
 
Mwenye mada ameniomba niiendeleze mimi so narudi kufanya yangu soin
 
Anayeshughulika nakupiga watu ban ni nani amuweke kizuizin huyu mtu...maana huu ni utoto uliochanganyikana na ujike ndani yake...huwezi taka watu wawe na mawazo kama yako...hii ni story unatoa na siyo majadala kuwa upate majibu...wewe weka story,habar ya mapozi kama unataka upate kuombwa nini sijui...huu ni utoto ulio na ujike ndan yake...

Acha usengerema boya wewe.
 
Wewe mleta mada usituzingue unasusa kama mwanamke bwana nguchiro wa masanzakona wewe tunapoteza muda kusubiri unatuletea nyodo hapa natamani kukunasa makofi bahati mbaya ni Jf
 
HABARI;nimeamua kuachana na hii simulizi yangu sababu watu wanaona kama natunga ama naandika kitu ambacho ni hadithi,,siwezi kuwa mchowo kwa wote ila kama unaitaji mwendelezo zaid nicheki inbox ntakutumia usome kwa wakati wako,,niwatakie jion njema

Unayako siyo bure....
 
asante mkuu nashindwa kucoment kuhusu story coz imeshatokea... Acha nisubir mwisho ndio niulize maswali yangu

Waweza uliza tu mkuu kwa hapa napofikia,unajua nashindwa kuandika yote kwa wakati mmoja sababu napokaa sana kwenye simu macho yanauma kinoma sijui ni kwann,,na hata apa nimeandika jana nusu then nimekuja kumalizia asubui
 
Mmh sijui ni hypothetical story au ni real lakini yote kwa yote hata kabla hujaiendeleza huyo bidada ni wa kupigwa chini ni pepo maana waweza kuamua kukaa naye baada ya mwezi mmoja tu anakuibulia mengine
 
Waweza uliza tu mkuu kwa hapa napofikia,unajua nashindwa kuandika yote kwa wakati mmoja sababu napokaa sana kwenye simu macho yanauma kinoma sijui ni kwann,,na hata apa nimeandika jana nusu then nimekuja kumalizia asubui

Wameshakupiga radi ya jero.
 
Back
Top Bottom