Dodoma sehemu gani?Mkuu watu wengine wan yao basi tu, mimi tangu 2012 nipo dodoma ilo tukio nilifanyaje wakati nilikuwa huku
Miaka 23 ni mtoto??!!!!!! Utakuwa umezoea watu ambao si wakomavu wa fikra wewe. Mbona hii kazi inaweza hata kufanywa na mtoto wa miaka 14-16 tu.Mtoto mdogo anapangilia maneno na kuandika kwa hekma kiasi hiki? ..kweli katoto haka? Si kwweli. Naungana na wanaomtilia shaka!.. hata hivyo mi siwaamini sana watu wanoomba msaada kwa watu wasiowajua...wengi ni matapeli mnaopenda kutapeliwa enndeleeni.
mbona dogo ka disappear baada ya zile shutuma maana mwanzoni alikua anajibu kila post.
watu wa aina hii ndio baadae wanasababisha tuwe waoga kuwasaidia wenye matatizo kweli kweli
Mbaga unakumbuka tukio uliofanya mwaka jana,pale mwanza.Badilika mdogo wangu huo ujanja ulishapitwa na wakati.
Nimejaribu kugoogle hilo jina n m sorry to say that nashawishika kabisa kuamini kuwa this is a scam. Mnaotaka kutuma fedha jipeni subira kidogo. Kama hautakua utapeli muhusika unisamehe. Ila nimekutana na stori inayoendana na hii lakini iko twisted kidogo.
mbona dogo ka disappear baada ya zile shutuma maana mwanzoni alikua anajibu kila post.
watu wa aina hii ndio baadae wanasababisha tuwe waoga kuwasaidia wenye matatizo kweli kweli