P. Majaribu
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 1,192
- 625
Sio ustaarabu lakini. Kijana kaweka kila kitu wazi kabisa bila kuficha. sasa kama unajua kuna tukio alifanya si ulitaje sasa! Mdogo wangu Mbaga Michael, watu wote humu sio wanafiki kama huyu jamaa, naamini utapata watu wa kuweza kukusaidia shida yako. Kwa sasa mimi naomba univumilie sina nafasi. nipo porini.
Mi nimeshamaliza hapo,wenye upeo watakuwa wamenielewa.
we mchelemchele kweli,...
Acha utoto!
Muda mwingine kuanika madudu ya mtu hata kama ni kweli kuna haja ya kuweka mipaka. Mkuu P. Majaribu warushie Mods taarifa uliyonayo kuhusu huyu dogo ilikutenda haki na kwa hadhi na heshima ya Jf.
Natumai Mkuu Invisible hili atakuwa ameliona.
Weka jina la shule tuwasiliane na mwalim Mkuu moja kwa moja na pia tuangalie jina lako kama limo.
Pole sana mdogo wangu upo wapi kwa hiyo?kituo gan ulijiandikisha kufanyia mtihani.Ni nin ombi lako
Bahati nzuri mie niko Dodoma kwa sass kama ukiweka wazi jina LA shule kituo gani na genuine contacts naweza fika pale na kurahisisha proof ya ombi lako kwa wana jf.
Bahati nzuri mie niko Dodoma kwa sass kama ukiweka wazi jina LA shule kituo gani na genuine contacts naweza fika pale na kurahisisha proof ya ombi lako kwa wana jf.
Mtoto mdogo anapangilia maneno na kuandika kwa hekma kiasi hiki? ..kweli katoto haka? Si kwweli. Naungana na wanaomtilia shaka!.. hata hivyo mi siwaamini sana watu wanoomba msaada kwa watu wasiowajua...wengi ni matapeli mnaopenda kutapeliwa enndeleeni.
Facebook unatumia jina gani?
Km sikosei ulitangaza kuwania ubunge huko mwanza,2015 je ni wewe
Kulikua na group kabisa FANIKISHA USHINDI WA Mbaga Michael. hii thread imenifanya niwaze sana, btw napenda sana vijana wenye kiu ya elimu nipo tayari kumchangia endapo Mods watathibitisha ukweli wa ombi hili kama wadau walivyo omba.