dr ulimboka ni raia kama raia mwingine na watu wengi washakumbwa na makubwa zaidi yake. Tanzania ina watu milioni 45 sasa itawezekana vipi mtu mmoja awashughulishe watu wa jamii forums namna hii? Kuna watu wamekufa na wameteseka zaidi ya huyu mtu mmoja, sasa sielewi kwa nini baadhi ya watu wanataka kuilaumu serikali kwa yaliyotokea
serikali iko bize kushughulikia hii migomo na jeshi la polisi haliwezi kupeleka resources zake zote kushughulia kesi ya mtu mmoja wakati wengine wanapata taabu zaidi yake.
Hoja za msingi hapa ni 2.
1. Serikali haiwezi kulaumiwa kuwa ilimteka na kumpiga. Tanzania sio banana republic na ni nchi inayoendeshwa na sheria na kama hakuna mwenye ushahidi wa kutosha kuwa serikali ilimteka ulimboka then fikirieni conspiracy theories zingine lakini sio kumteka na kumpiga huyu jamaa. Kuna watu ambao wanaiendesha mbio serikali kama akina issa ponda wapo na hakuna aliyewateka wala nini.
2. Jeshi la polisi hawawezi kulaumiwa kwa lolote. Na sikuona sababu ya mkuu wa polisi kuitisha press conference juu ya dr ulimboka. Wao wangesema kuwa jalada limefunguliwa na wataishughulikia kesi yake kama mtu mwingine.
Just thinking outside the box
Dr Ulimboka ni raia kama raia mwingine na watu wengi washakumbwa na makubwa zaidi yake. Tanzania ina watu milioni 45 sasa itawezekana vipi mtu mmoja awashughulishe watu wa JAMII FORUMS namna hii? Kuna watu wamekufa na wameteseka zaidi ya huyu mtu mmoja, sasa sielewi kwa nini baadhi ya watu wanataka kuilaumu serikali kwa yaliyotokea
Serikali iko bize kushughulikia hii migomo na jeshi la polisi haliwezi kupeleka resources zake zote kushughulia kesi ya mtu mmoja wakati wengine wanapata taabu zaidi yake.
Hoja za msingi hapa ni 2.
1. Serikali haiwezi kulaumiwa kuwa ilimteka na kumpiga. Tanzania sio banana republic na ni nchi inayoendeshwa na sheria na kama hakuna mwenye ushahidi wa kutosha kuwa serikali ilimteka ulimboka then fikirieni conspiracy theories zingine lakini sio kumteka na kumpiga huyu jamaa. Kuna watu ambao wanaiendesha mbio serikali kama akina Issa Ponda wapo na hakuna aliyewateka wala nini.
2. Jeshi la Polisi hawawezi kulaumiwa kwa lolote. Na sikuona sababu ya mkuu wa polisi kuitisha press conference juu ya Dr Ulimboka. wao wangesema kuwa jalada limefunguliwa na wataishughulikia kesi yake kama mtu mwingine.

Maranyingi mswahili afi na akifa basi kalogwa kila jambo baya likitokea ni la serikari inausika mazuri yote ni ya CDM
Tatizo lako ni kuwa, hujui kuwa Population ya watu milioni 45 Tanzania inasumbuliwa na mtu mmoja tu, ambaye ni Kikwete.Na Kwa sababu iyo hiyo ndo mana hao watu mil45 wamesahaulika anajadiliwa mkombozi wa afya ya watanzania mil45.Funguka.
so far namshangaa mtoa mada,mada yenyewe na hata hao waliomgongea like!!!!!!.hivi siku hizi wale watu wa kuchakachua thread wamepotelea wapi?Dr Ulimboka ni raia kama raia mwingine na watu wengi washakumbwa na makubwa zaidi yake. Tanzania ina watu milioni 45 sasa itawezekana vipi mtu mmoja awashughulishe watu wa JAMII FORUMS namna hii? Kuna watu wamekufa na wameteseka zaidi ya huyu mtu mmoja, sasa sielewi kwa nini baadhi ya watu wanataka kuilaumu serikali kwa yaliyotokea
Serikali iko bize kushughulikia hii migomo na jeshi la polisi haliwezi kupeleka resources zake zote kushughulia kesi ya mtu mmoja wakati wengine wanapata taabu zaidi yake.
Hoja za msingi hapa ni 2.
1. Serikali haiwezi kulaumiwa kuwa ilimteka na kumpiga. Tanzania sio banana republic na ni nchi inayoendeshwa na sheria na kama hakuna mwenye ushahidi wa kutosha kuwa serikali ilimteka ulimboka then fikirieni conspiracy theories zingine lakini sio kumteka na kumpiga huyu jamaa. Kuna watu ambao wanaiendesha mbio serikali kama akina Issa Ponda wapo na hakuna aliyewateka wala nini.
2. Jeshi la Polisi hawawezi kulaumiwa kwa lolote. Na sikuona sababu ya mkuu wa polisi kuitisha press conference juu ya Dr Ulimboka. wao wangesema kuwa jalada limefunguliwa na wataishughulikia kesi yake kama mtu mwingine.
Just thinking outside the box
Tatizo lako ni kuwa, hujui kuwa Population ya watu milioni 45 Tanzania inasumbuliwa na mtu mmoja tu, ambaye ni Kikwete.
Na Kwa sababu iyo hiyo ndo mana hao watu mil45 wamesahaulika anajadiliwa mkombozi wa afya ya watanzania mil45.
Funguka.
Duh, kweli JF imekuwa kokoro! Kuisema serikali ya Kikwete ni kama kufungulia bomba la maji machafu, wapuuzi na wachafu wote watajitokeza kuitetea. Kuteswa kama alivyoteswa Dr. Ulimboka kuna maana moja tu kuna kitu kilikuwa kikitafutwa na Dr. hakuweza kukitoa. Ni taasisi moja tu inaweza kumtaka Dr. Ulimboka ataje walioko nyuma ya mgomo wa Madaktari, nayo ni serikali na kwa kuwa kilichokuwa kikitafutwa ni nani wa kumbambikizia hizo tuhuma...na kwa mtu yeyote mwenye chembe ya uelewa, madai ya Stella Manyanya bungeni yamezidi kufichua lengo la hawa vilaza serikalini.Sigma Mtu Mzima hatishiwi nyau Runguka
Soma hiyo ngoma imeisha chocheeni kingine na wanaharakati wenu
Breaking Nuuuuuuuuuz: JULAI 2, 2012Huduma katika Hospitali ya Taifa Muhimbili zimerejea katika hali ya kawaida baada ya Madaktari kurejea kazini Jumatatu ya leo Julai 2, 2012.Tathimini iliyofanyika kuanzia asubuhi saa mbili hadi saa 11 jioni inaonyesha kuwa katika Idara ya Tiba, Madaktari Bingwa 19 kati ya 21 wamefika kazini ambapo watatu wako likizo. Aidha Registrars wote 12 walikuja kazini. Kliniki zote za tiba zimefanyika kama kawaida.Katika Idara ya watoto, yenye Madakatari Bingwa 16, kati yao 14 walikuja kazini wengine wawili wako likizo na Registrar watatu kati ya sita walikuja kazini ambapo watatu wako likizoUpande wa OPD yenye Registrars saba, sita kati yao walikuja kazini na mmoja yuko likizo. Aidha Madaktari Bingwa wote walikuja kazini.Idara ya Magonjwa ya Afya ya Akili yenye Madakatri Bingwa 10, tisa walikuja kazini na mmoja wao yuko masomoni.Upande wa Emergency Medicine, Registrars wote 10 walikuja kazini.Kuhusu huduma za upasuaji, wagonjwa wote waliolazwa wodini wameonwa, na baadhi ya kliniki za huduma ya upasuaji zilifanyika. Hata hivyo, upasuaji haukufanyika kwani hakukuwa na orodha ya wagonjwa waliopangwa kufanyiwa upasuaji.. KWA UJUMLA, MADAKTARI WAMEREJEA KAZINI.Imetolewa na;Aminiel Buberwa AligaeshaAfisa Uhusiano Mwandamizi Julai 2, 2012