Mkasa ulionikuta wikiendi hii

Mkasa ulionikuta wikiendi hii

Si utakuja kunitetea?
Wowwwwwww,Haleluyaaaa,now you are talking mamii,umeingia line sasa baada ya kusoma bank statement yangu,hahahaaa nilikwambia mimi asali,unaona sasa umeigia anga zangu,na mimi nitaanza kuitwa baby muda si mrefu hahahahhhh,bila kusahau huyo bazazi kabla hajakufikia atakuwa kaliwa kabang yeye kwanza.
 
Ha ha haaa hebu fanya kufoad hizo hela basi kwanza
 
Una mke na bado unapuyanga. Unadhani walikula hiyo 150 bahati mbaya? Wanajua kabisa wewe ni boya mkuu. Sasa hiyo 150 ungemlipia gym mkeo arudi kwenye form. Acha kuhangaika na videmu hivyo, u made a choice kuoa. Mke wako alikuwa ndo the woman u chose to spend the rest of your life with. What happened? Tafuta chanzo kilichotrigger spark mara ya kwanza kwake. Kifanyie kazi.
 
Alikufanyia vizuri sana.
Mwanaume unaacha mke nyumbani,unaenda kutembeza kengele zako kwa vidada vya chuo,tena hapo usikute hom uliacha 5000 ya kula siku nzima, ndo mana mungu nae akaamua kukuangaza,mxcheeew
 
huwa wanapanga hizo mambo hasa wanapompata fala wa kumfunza adabu, na una bahati ulienda mpesa umeonewa huruma, wanatembeaga na tools ktk vile vikoba vyao, cocain kidogo, kikopo cha blue band, jelly, kapoti, bisibisi na viwembe, miyeyusho sana hawa watu wawapo kazini... jiangalie next time unakula viagra then unaliwa wewe.
 
Back
Top Bottom