Mkasa ulionikuta wikiendi hii

Mkasa ulionikuta wikiendi hii

Yawezekana hata bado unapangisha/ mpangaji huku unalipia uzinzi 40,000 karibu cement tatu kama upo dar. Chakula na nauli 110,000, labda mwanao anasoma st kayumba.
Duuh Magufuli anakazi kwelikweli
Dah...akili za ajabu sana hizi...mbona unachanganya mambo? Yeye alikwambia hizi pesa ni za kununulia cement au kulipia ada? Hebu jifunze kuheshimu bajeti za watu bana
 
Ulipoona wamezid idad ungewatoroka,ungesubiri wameagiza ukazuga unaenda toa pesa kwenye tgo au mpesa,ukakimbia.ilinikuta mwaka flan mabibo hostel,ilkuwa birthday yangu nikawalika wawili tu demu wangu na rafk yake lkn huyu rafk alikuwa mkubwa kwa demu wangu.tulipanga waje hostel tukutane pale abc kisha twende kawe beach,siku hiyo bana yule rafk akaja na madem wengine wawili na jamaa mmoja,wakaagiza vinywaji vya hatari yaan round moja 30 ikaisha,wale masistaduu wanaanza kujisemesha ooh nina hamu ya kuku maraa njaa,kumbuka yle demu wangu hakuja eti kwao kazuiliwa,kalikuwa form four enzi hizo,nilichofanya nikawambia naenda nunua vocha,nilinyookka had chumban na sikutoka tena.mifa kama saa sita usiku nikapita kwa mbali abc naona wanapigwa na upepooo,na mahsiano yaliishia hapo
Huyo demu wako mpo nae hadi sasa?
 
Chakufanya ungemtarifu mapema kwamba mm huku nimeshachukua chumba hata kama ulikuwa hujachukua ili usikie anasemaje
 
Nyapu zao na ww unamoyo huo ujanja ulosha pitwa na wakati ingewaacha wajilipie wao wale walikuja kukukomesha
 
Wadau wa MMU habari zenu

Yaliyonikuta wikiendi hii ilikuwa zaidi ya majanga.
Niliwaza iwe siri yangu lakini nimeona acha nishee na nyie
Muwe washuhuda!shuka nayo hiyo

Kama desturi ndani ya jumamosi
Kidume nimeweka miadi na mtoto
Wa chuo flani hivi sista duu wa nguvu.baada kumgharamia kabla sijala mzigo nikaona sasa huu ndo wakati muafaka wa kula kinono ili kurudisha hata chenji zangu!

Mtoto akasomeka vizuri ila kwa masharti hatakaa sana.sikuona tabu nikamwambia achukue taxi afike hapa.me nishalipia chumba 40,000 nimekaa sehemu ya bar nashusha bapa langu la konyagi
Nikaona haitoshi nikameza na kiagra kimoja ili nije kurudisha gharama hata nusu!

Akanipigia simu kafika nikalipa tax 5000 ajabu kuchungulia nyuma ya taxi kuna sista duu zingine mbili
Mara zikashuka jumla wakawa watatu!nikahisi kijasho chembamba kinashuka maskio yakawa yamoto kwa hasira.
Ila nikajikausha tukakaa wakaletewa menyu yaani walimaliza elf90 pale ikabidi nikatoe mpesa ila nikawa na imani
Kwamba wataondoka waniachie huyo mwenzao nikamshughulishe
Maana hapo hali ilishakuwa tete!

Ukistaajabu ya musa utaona ya firauni.eti wote mwishoe wananiaga huku wananibusu kwamba wanaenda kwenye birthday ya rafiki yao!
Nikawaitia taxi tena nikalipia
Yaani laki na nusu iliishia pale mzigo sijapewa nikarudi homu kumbeleleza tu wife anipooze ilikuwa hakuna namna!

We sista duu popote ulipo kama unasoma hii siku ukiingia anga zangu ukanipa takula viagra3 na
Nitakula hadi KABANG!
Na akili zako timamu..unaopost ujinga ka huu..acheni utoto
 
ha hah aha basi raha .. kumbe mzigo unao home ila unataka vya mtaani koma
Baby mimi siko hivyo,bora nilete mbege na kitochi nyumbani tuburudike mimi na wewe tu,watoto tunapeleka kwa auntie yao kucheza ili sisi tumtoe yule mchonganishi mwilini mwetu au vipi?.
 
Back
Top Bottom