Mkasa ulionikuta wikiendi hii

Mkasa ulionikuta wikiendi hii

ha ha ha tena siku hizi nimejua weekend ukitoka ukarudi unanilazimisha mzigo nakubania
Mamaweeeeee,sasa itabidi niwe napitia Corner Bar,wacha nikachunwe buzi huko halafu tukose pesa ya Castle Light halafu unikimbie baby au vipi?
 
kwani ulikutaga hapo bikra wewe?
Si ulinidanganya eti bikira imetoka sababu ya kuendesha baiskeli kule Marangu,leo siri imetoka au siyo,aisee itabidi baba yako mzee Masawe anirudishie nusu ya mahari,aisee kumbe nilioa mtumba, Yesu wangu,kiruuuuuuuuuuuuuumbulaaaaaaa,..
 
Pole mkuu. Zamani nilikuwa napenda kuangalia Isindingo. Kuna siku Georgie Zamdela alipata binti, akawa amepiga viagra. Wakati George anajiandaa kisaikolojia yule mtoto akapigiwa simu ya msiba, nadhani baba yake au mama yake alifariki. Yule mtoto akaanza kulia na akasema anaondoka. Ahh George alizunguka chumba kizima haamini wakati huku chini mambo tayari.

Ila mkuu wanaume hapo ndipo huwa tunakosea. Kwanza pombe na viagra haviendani. Kaka mwisho wake ni mauti.

Pili hiyo hela ingeenda hata kwa account ya mtoto. au katika maendeleo.

Ukifikisha miaka 40 hutaona jipya kwa wanawake, nakuambia ukweli. Akili hubadilika tu, unakuwa unawaza cementi na matofali.

Usije ukawa unahadithia wanao, ''hii sehemu zamani ilikuwa pori tu sasa hivi pamejengeka'' wakati hapo hata kiwanja huna.
mdau mwenzagu wa isidingo hahaha sa hivi tunafaidi na NINA ZAMDELA
 
hahaha Siku moja moja huwa naagalia. Nina ni jembe. Very aggressive. Ukimpata mwanamke kama huyo akakupenda kweli, basi wewe tafuta hela halafu mpe asimamie miradi.
Sema mtamu kwa kugegeda hasa akikupenda mwenyewe.......tehetehe anajua kutega na kushawishi japo ni mafia kama baba.....ila barkee haines na lincoln sibeko ndio ma master wa umafia
 
Back
Top Bottom