Mkasa ulionikuta wikiendi hii

Mkasa ulionikuta wikiendi hii

Wadau wa MMU habari zenu

Yaliyonikuta wikiendi hii ilikuwa zaidi ya majanga.
Niliwaza iwe siri yangu lakini nimeona acha nishee na nyie
Muwe washuhuda!shuka nayo hiyo

Kama desturi ndani ya jumamosi
Kidume nimeweka miadi na mtoto
Wa chuo flani hivi sista duu wa nguvu.baada kumgharamia kabla sijala mzigo nikaona sasa huu ndo wakati muafaka wa kula kinono ili kurudisha hata chenji zangu!

Mtoto akasomeka vizuri ila kwa masharti hatakaa sana.sikuona tabu nikamwambia achukue taxi afike hapa.me nishalipia chumba 40,000 nimekaa sehemu ya bar nashusha bapa langu la konyagi
Nikaona haitoshi nikameza na kiagra kimoja ili nije kurudisha gharama hata nusu!

Akanipigia simu kafika nikalipa tax 5000 ajabu kuchungulia nyuma ya taxi kuna sista duu zingine mbili
Mara zikashuka jumla wakawa watatu!nikahisi kijasho chembamba kinashuka maskio yakawa yamoto kwa hasira.
Ila nikajikausha tukakaa wakaletewa menyu yaani walimaliza elf90 pale ikabidi nikatoe mpesa ila nikawa na imani
Kwamba wataondoka waniachie huyo mwenzao nikamshughulishe
Maana hapo hali ilishakuwa tete!

Ukistaajabu ya musa utaona ya firauni.eti wote mwishoe wananiaga huku wananibusu kwamba wanaenda kwenye birthday ya rafiki yao!
Nikawaitia taxi tena nikalipia
Yaani laki na nusu iliishia pale mzigo sijapewa nikarudi homu kumbeleleza tu wife anipooze ilikuwa hakuna namna!

We sista duu popote ulipo kama unasoma hii siku ukiingia anga zangu ukanipa takula viagra3 na
Nitakula hadi KABANG!
pole sana braza
 
UKIONA hivyo Mshukuru Mke wako, Siku zote anakuombea, nakushauri usijute hata kidogo na wala usimtafute huyo sista duuh! Mungu anaweza akawa amekuepusha na magonjwa ya Ngono, Tulia na Mkeo! Siku nyingine toka na Mkeo ukatembee naye mbali kabisa, Wanawake wanapenda sana kutoka out na wapendwa wao! Mshukuru Mkeo anakuombea and thus why imetokea vile.
 
Tatizo mnajifanyaga mnazo ndo maana mnapigwa pesa zenu ww mwanamke wa kumtangazia una pesa kwann asitumie kila njia ili apukutishe hizo hela zako, hapo unakuta mkeo alikuomba hela ukasema huna ndo laana zenyeww hizo
 
Huyu jamaa kweli boya na pesa hizi za magumashi unaanzaje kutoa tu bila kukubaliana?? Lazima uhakikishe yuko tayari kabla hujatumia gharama yoyote na huyo demu alimgundua mapema akaamua ngoja amkomeshe, kwanza hakukuwa na birthday wala nini na alipokuja na madem wenzake wala hakulitalifu lenyewe likajifanya linahela sana sasa ona linalia.
wavulana mnashida saana!
mwanaume hawezi vumilia mapuuza kama hayo, kwanza inaonekana hata hukumtarifu juu ya hilo swala lako we ukafikiri nikuvuta mkono tu pesa ziongee!

madomo zege wa Dar es salaam mnatuaibisha
 
Hahahaaaa
Bora tu maana wife at least alipata weekend ya uhakika! Mungu huwasaidia viumbe wake kwa namna tofauti tofauti... wife weekend yake ilienda safiii kabisa kwa kutimiziwa hitaji muhimu la ndoa kwa wakati wake. Pengine alikuwa anaomba Mungu kila kukicha juu ya show zako za kijogoo jogoo na Mungu akamjibu kwa njia ya ajabu.

Prays the Lord......
 
Back
Top Bottom