mwanzo wetu
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 1,587
- 466
Ungesema uongo kuwa umekuja na hela umepoteza njiani HA HA HA HA HA HA
Ngoja ni PM miss chagga tukutane mahali
Yani nimecheka sana siamini unachozungumza
hujiamini kijana, ungesubiri picha liishe lote uje na stori kamili.
Kumbe unamjua? Yani aliposema v8 nikajua ni miss chagga,, lakini huyo dogo alikosea ilibidi angekomaa tu
Kuna
mdada alikuwa anachangia sana humu JF, nilitokea kupenda sana uandishi
na michango yake na nikajikuta naanza kumPM. Alikubaliana nami na
tukapanga siku tukutane, alikuja na usafiri wake mpaka pale
tulipoahidiana tukutane, lakini yeye alitangulia kufika kabla yangu.
Mimi nilifika baada kama dakika ishirini hivi kwa usafiri wa
daladala.Nilipofika nilimkuta kaagiza kinywaji na akaniambia na mimi
niagize chochote ila nilimkatalia kwa sababu nilikuwa nimebakiwa na 3000
tu ya nauli. Basi akaniuliza vipi mbona umechelewa kufika? Nikamjibu
ninapoish ni mbali kidogo, akaniambia sawa na pole sana.
Basi baada ya muda na kupiga stori nying akaniaga akaniambia nataka
kuondoka nawahi nyumbani na mimi nikamjibu sawa. Basi wakati anaondoka
nilijua atasubiria boda boda, kumbe ana mgari aina ya V8, akaingia ndani
akawasha akaondoka.
Wallah sikumpigia tena simu kwa sababu mimi sina hata baiskel na wa
magari nitawaweza, nikasema bora aende zake maana akija kwangu ninapoish
na jinsi kulivyo ataniaibisha JF zaidi.
aiseeeeeMiss chagga ndo ana V8..alafu ukikutananae yuko very descent...hana ule ujingaujinga kama anaopost hapa
Anayechangua sana, huyo atakuwa miss chagga
aiseeeee
duh !!!! mbona hivi
Miss chagga ndo ana V8..alafu ukikutananae yuko very descent...hana ule ujingaujinga kama anaopost hapa
Anayechangua sana, huyo atakuwa miss chagga
duh mimi sijui bana wewe wajua kilichokukutaningekuwa nakufaham ingekuwa nzur maana kila mtu anadai hii thread inakugusa wewe dadaangu
Dahh hiyo kali sanaaa
Hiyo imewahi kunikuta hata mm ila mm tofauti kidogo,, alipenda biashara zangu na yeye anamiliki scania zinaenda tz congo akaingia kwa gear anataka ushauri wa biashara na kuuza spear za scania,, nikamtoa mpaka mbalamwezi beach club nika garamia shoo yote ila nikamgundua ni mankaa zaidi yupo kimasilahi japo na yeye ana hela chafuu nikaamua kujipigia simu mwenyewe na kumuachaa!!!!