mkasa ulio nikuta ndani ya gari

mkasa ulio nikuta ndani ya gari

Huyo mchumba wako amshukuru Mungu abiria alishukia kituo cha karibu. Na wewe pia ungeabika sana kama sio kuvaa mavazi yako ya kubana. Sasa kilichokuzuia kusogea nyuma ni kitu gani mkuu? Ni kweli ulishindwa kwa sababu ya kumkumbuka mchumba au mazingira hayakuruhusu kuomba namba? Ungerudi nyuma ukaendelea kufuatilia yanayojiri kwenye mitandao hayo yote yasingetokea.
Asogee nyuma akose utamu???
 
Muda mwingine simlaumu Mungu kwa kutonipa gari maana usafiri wa umma unanipa raha sana..

Ukiwa kwenye private car unaishia kuhadithiwa..
 
Nilikuwa na uwezo 100% kugonga yule dada kwani alichokuwa hakikifanya halikuwa hakinitazama usoni kwa kuibia furani ila lengo langu nilitaka kujuwa nini haswa lengo lake pia swala la kusogea nyuma nimelifanya kipindi cha mwanzoni ili kumwachia nafasi laki bado hali iliendelea ikabidi ni stop nione nini hitaji lake

tumapendana na mchumba wangu sana nimejiuliza kwanini nifanye hivyo nafaidika na nini haswa nikakosa jibu kilichofuata nikuqngalia move nzima nione hitaji lake kwangu ni mini?
Unajiuliza mno nia yake au unajutia nafasi uliopoteza?
Ni wazi alikuwa anakutaka sioni sababu ya kujiuliza sana kana kwamba kuna fumbo fulani la maana.
 
Unadhani watu watalipiwa kodi na Nani mijini humu?
Tabia yako ya hovyo.
Inatakiwa tusaidiane kugawana hivyo hivyo. Tusiachiwe wachache!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wana ndugu

Narejea kwenye story yenyewe mida ya saa 9 mchana hivi nikiwa natoka kazini nimepanda gari public transport kutoka makumbusho mbezi nimeingia hakukuwa na pa kukaa nikasimama nikashika bomba mkono mmoja na wingine umeshika simu kama kawaida yangu nikawa napitia kilichojili mitandaoni.

Ss basi akapanda dada mmoja ni black yuko vizuri alivyoingia kasogea moja kwa moja mpka karibu yangu nikamsalimu fresh kabisa sasa watu kwenye gari wakajaa safari ikaanza tulivyokuwa tukiendelea na safari huyo dada anasogeza makalio yake kwenye paja langu nikajuwa gari inavyopunguza mwendo ndio sababu nikaendelea na mambo yangu tulivyo endelea naona hali inazidi sasa ndio anasogeza matako yote kwenye dushe yangu nikachukuwa maamuzi ya kutokusogea nyuma ili nishudie mpaka mwisho.

Kama kawaida ya mwananaume lijari machine ikadinda kilichonisaidia mavazi niliyokuwa nimevaa jeans, boxer iliyonitait na shati nililokuwa nimechomekaa haikuwa rahisi kugundua kama dushe limesimama nilifikia sana kwanini huyu dada ananifanyia hivi nikaingiwa na tamaa za kutaka kuomba namba ili nikadhiilishe kabisa hicho anachokitaka kila nikitaka kuomba namba namkumbuka mchumba wangu moyo unanisuta kwanini nataka kumfanyia mchumba wangu hivi na tunapendana na soon tunafunga ndoa kiukwel nimeangaika sana kujizuia sana mpaka yule dada hakashukia maeneo ya rombo ndio nikapumua nimejitaidi kujizuia kwa kila njia kwa kumuwazia mchumba wangu kwanini nimfanyie hiki ninachotaka kukufanya.

Wanandugu ni kwanini wadada wanakuwa na tabia kama hizi tatizo ni nini haswa......? toa maoni yako

Inawezekana kakufanyia makusudi.

Lakinipia inawezekana kuna wengine huwa hawajitambui,yani akiliyakeinakuwa iko mbalisana na mazingira hayo yanayomzunguka.

Ndiyo maana wengine wanaweza kuweka bonde laufa la tako liuchukue mlingoti vizuri kabisa wakati wameegemea mlingoti,bila kujishtukia.

Unachotakiwani kuwa muungwana na kujisogeza mbali tu usije kumbwa na mfadhaiko.
 
Ungekamilisha urijali wako kwa kumuomba namba, unadhani ukiwa na mmoja tu utapata baraka nyingi???
 
Umeanza vizuri ila kwenye umaliziaji sasa

time will tell
 
Mimi ndo balaa kabisa
Hao huwsga wengi sana tena sana hapo Dar usiseme na mm wakijisogeza kwa staili hiyo huwa nawakepa kidogo naingiza mkono mfukoni nalinyanyua dole gumba acha we atajizungusha anazani mche kumbe dole gumba

Huwaga nalishusha mpaka sauzi ya kati ikirudi gari Kwangu naongeza urefu mpaka wanashutukaga anakuwa anageuka tu Mara kwa Mara harafu mi Niko bize na mambo tangu

Mmoja mpaka nilimhurumia maana mpaka alilia kisa nyege alikuwa nyuma yangu kanitegea kifua nikakisugua mpaka akawa ananilalia mafua sio mafua mpaka machozi mama Wa watu nilipotoka nikaendelea na hamsini zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom