Mkasa: Nilifunga safari kwenda kuonana na demu ambaye hatukuwahi kuonana kabla

Me nilikua na bahati sna.nilipataga mtoto wa zanaki tukajenga mahusiano akawa ikiwa hana simu anatumia ya rafiki zake .kushtuka nikatafuna rafiki zake3!!!yaan sikuwahi kuokota tikiti maji kwenye iko kipindi.mwinginevalikuaga mwanafunzi wa form4 aiseee sitokuja kumsahau yule mtoto.alinifanya kidogo nichizike.maana ilikua mnapiga show za kibabe na alikua fundi sikypata kuona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha, heri yangu niliyekariri kamsemo kuwa "Shopping for the cheap deal can be more expensive in the long run"
 
Mimi nilisafiri kwa treni siku mbili huko soviet. Nafuata demu.
Mara treni likazingua njiani tukakaa hotelini, nikapendwa na kisu kimoja.. Kumbe kile kisu ni jirani na ninapoenda.
Ninapoenda binti alikuwa anaishi na mama yake wawili tu kwenye apartment.

Mama yake kwenye early 50s yake hajawahi kuona mtu mweusi maishani zaidi ya tv.

Mji ulikuwa na skinhead wale wanaoua wageni.
Nilifika kumbe kesho yako ni sikukuu ya hitler.hii ni siku ambayo mgeni akionakana wanachukua roho yake. Iwe mchina mwarabu etc...

Na mama na binti nilienda nao supermarker kununua alcohol.
Kila mtu alikuwa lazima ageuke kuniangalia , kingkong kafika kwenye kimji chao.
Huo mji unaitwa tula unaweza kuugoogle.

Ni stori ndefu sana ila ni real.
Ngoja nimtafute The bold anisaidie kupangilia paragraph vizuri. Ili asinilipishe napitia kwa dada yangu kipenzi Nifah

Nitaanzishia thread ya haya matukio ngoja kwanza nipewe idhini na relato
Naisubiria kwa hamu sana
 
Mkuu Saint Vuga kwani bado hujapata Idhini kutoka kwa Relato ya kuanzisha thread ya hayo matukio yako?
Tumekua tukisubiri Thread ya Matukio yako kwa Miaka 3 sasa, tunakuomba Relato toa Idhini kwa Saint Vuga ili alete hayo matukio
 
Back
Top Bottom