Mkasa: Nilifunga safari kwenda kuonana na demu ambaye hatukuwahi kuonana kabla

kipindi hicho dar hot wire aka dhwr ipo juu wengine status zetu zilikuwa kubwa. dada mmoja alipenda sana ku chat maneno ya kifedhuli ndio yake kuna siku kanifata chemba piga stori sana sana yeye anaishi mabibo mi magomeni mkutano ubungo sikuya jumamosi saa tano mchana nimewasili ubungo junction piga simu kaniona yeye kabla yangu kuja kumuona ni binti mgonjwa sana pale pale nikabadilika alilia sana mi huyooo safari. sikumuona tena kuingia dhwr
 
The same mwaka 2008 kipindi gan sijui east africa radio niliandka ujumbe natafuta rafiki wa kike, aseh, niling'oa mtoto wa kiarusha huyo hatari. Tulidumu 3 yearz tukabreak..
 
Mimi mwaka 2008 wakati huo TBC inatumia antena kuna kipindi kilikuwa kinaitwa one beat siku ya jumamosi saa 4 usiku. Chacha Maginga akiwa mtangazaji, nikaona namba za simu zinapita chini nikazinasa fasta .Kesho yake nikapiga siakapokea dada mmoja, kuuliza akasema yuko Moshi,
Tukaanza kuchat kama miezi 7 hivi, nikaomba mzigo tukapanga niende.
Kabla sijaenda akaniunganisha na rafiki yake, nae nikawa nachat nae, baada ya kuchat nae kwa muda nikagundua anataka kunipa papuchi, nikajikaza nikaomba akaniambia niende.
Nikawa na chat nao wote bila yule wa kwanza kujuwa, huyu wa pili akawa na kasi kubwa ya kutaka kuonana nae, sikufanya kosa.

Nikapanda gari kutoka Tanga mpk Moshi nikiwa njiani niliwaza sana je akiwa mbaya itakuwaje maana sina muda na msichana ambaye nikiwa nae naona aibu nikikutana na mtu wangu wa karibu.
Aliniambia alivyovaa na mimi nilimwambia pia hadi bus nililopanda.
Majira ya saa 7 naingia Moshi nikiwa kwenye Ngorika nikapiga simu nikamuona anapokea kucheki ni aina ya wasichana ninaowataka kwa kumtia hofu nilipomwambia nimefika nikazima simu.
Dada akawa akipiga sipatikani nikashuka fasta nikatulia sehemu namchora anavyosumbuka.
Kama dk 8 nikawasha cm ikaingia sms inasema yaani sikutegemea kama unaweza kuniuza kiasi hiki.
Nikamzungukia kwa nyuma nikamshika mkono kwa kumtaja jina, hakuamini akatoa machozi ya furaha.
Tukaenda lodge nikala mzigo mpk asbh, ikawa sasa yule demu wa kwanza akawa kama nyumba ndogo nikawa nachat nae ila siyo sana,nae akataka tuonane nikamwambia aje tukutane Same tukapanga siku 1 tukakutana akawa demu wangu wa kwanza wa hovyo kumla yaani ni wa hovyo alafu akilala mpk umkumbushe majukumu yake.

Aliniacha hoi nilipomtega nikamwambia nivae condom? akasema nitakavyojisikia mimi kuvaa au kutovaa.
Nimekula sana madem kwa njia ya mtandao lakini sasa nimeoa na nina watoto wa 3.
Hongera mkuu km ulifanikiwa kuwatusua wote maana awa ukieafungia safar hakawii kukuambia " Nishakuona panda Bus rudi kwenu"
Sas bas tulia na mkeo mlee watoto wenu
 
Umenikumbusha mbali san nilishawasilian na jamaa kam mwak hivi alikosea no mwishowe tukawa marafiki then wapenzi kwenye simu tu

nikilia hali ananitumia pesa mwisho wa siku akatak niende s/wanga wakati huo mie nilikuwa dar kweli nikaenda kufika stand sasa nilipomuon hamu yote ya safari iliniisha mfupi kam kinu..wakati mie mrefu alikuwa na mwili mdogo basi tulipoongozana daaah ni vituko

sbb mie nimeenda hewani kijishepu mashallah sasa yey alikuwa ananifika chini ya mabega

yote tisa kumi kibamia daaah nilijuta mbona niliondoka baada ya siku moja wakati nilipanga kukaa siku 3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi mwaka 2008 wakati huo TBC inatumia antena kuna kipindi kilikuwa kinaitwa one beat siku ya jumamosi saa 4 usiku. Chacha Maginga akiwa mtangazaji, nikaona namba za simu zinapita chini nikazinasa fasta .Kesho yake nikapiga siakapokea dada mmoja, kuuliza akasema yuko Moshi,
Tukaanza kuchat kama miezi 7 hivi, nikaomba mzigo tukapanga niende.
Kabla sijaenda akaniunganisha na rafiki yake, nae nikawa nachat nae, baada ya kuchat nae kwa muda nikagundua anataka kunipa papuchi, nikajikaza nikaomba akaniambia niende.
Nikawa na chat nao wote bila yule wa kwanza kujuwa, huyu wa pili akawa na kasi kubwa ya kutaka kuonana nae, sikufanya kosa.

Nikapanda gari kutoka Tanga mpk Moshi nikiwa njiani niliwaza sana je akiwa mbaya itakuwaje maana sina muda na msichana ambaye nikiwa nae naona aibu nikikutana na mtu wangu wa karibu.
Aliniambia alivyovaa na mimi nilimwambia pia hadi bus nililopanda.
Majira ya saa 7 naingia Moshi nikiwa kwenye Ngorika nikapiga simu nikamuona anapokea kucheki ni aina ya wasichana ninaowataka kwa kumtia hofu nilipomwambia nimefika nikazima simu.
Dada akawa akipiga sipatikani nikashuka fasta nikatulia sehemu namchora anavyosumbuka.
Kama dk 8 nikawasha cm ikaingia sms inasema yaani sikutegemea kama unaweza kuniuza kiasi hiki.
Nikamzungukia kwa nyuma nikamshika mkono kwa kumtaja jina, hakuamini akatoa machozi ya furaha.
Tukaenda lodge nikala mzigo mpk asbh, ikawa sasa yule demu wa kwanza akawa kama nyumba ndogo nikawa nachat nae ila siyo sana,nae akataka tuonane nikamwambia aje tukutane Same tukapanga siku 1 tukakutana akawa demu wangu wa kwanza wa hovyo kumla yaani ni wa hovyo alafu akilala mpk umkumbushe majukumu yake.

Aliniacha hoi nilipomtega nikamwambia nivae condom? akasema nitakavyojisikia mimi kuvaa au kutovaa.
Nimekula sana madem kwa njia ya mtandao lakini sasa nimeoa na nina watoto wa 3.
Mungu mkubwa amekunusuru ,,,sema umeharibu sana Dada zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wana story sana humu sijawahi jiamini kukutana na mtu wa mtandaoni yaani nakuwa kama na uoga na hata nkijitoa tunapisha itatokea tuu auto ,,nazani kama wakizidi ni 2 na ni watu wema tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilisafiri kwa treni siku mbili huko soviet. Nafuata demu.
Mara treni likazingua njiani tukakaa hotelini, nikapendwa na kisu kimoja.. Kumbe kile kisu ni jirani na ninapoenda.
Ninapoenda binti alikuwa anaishi na mama yake wawili tu kwenye apartment.

Mama yake kwenye early 50s yake hajawahi kuona mtu mweusi maishani zaidi ya tv.

Mji ulikuwa na skinhead wale wanaoua wageni.
Nilifika kumbe kesho yako ni sikukuu ya hitler.hii ni siku ambayo mgeni akionakana wanachukua roho yake. Iwe mchina mwarabu etc...

Na mama na binti nilienda nao supermarker kununua alcohol.
Kila mtu alikuwa lazima ageuke kuniangalia , kingkong kafika kwenye kimji chao.
Huo mji unaitwa tula unaweza kuugoogle.

Ni stori ndefu sana ila ni real.
Ngoja nimtafute The bold anisaidie kupangilia paragraph vizuri. Ili asinilipishe napitia kwa dada yangu kipenzi Nifah

Nitaanzishia thread ya haya matukio ngoja kwanza nipewe idhini na relato
tunasubiri kwa hamu mkuu
 
Back
Top Bottom