Mkasa mzito wa mapenzi

cement

JF-Expert Member
May 5, 2012
581
218
[h=6]Umelala na mumeo ndani usiku kama saa saba mlango unagogwa kwenda kufungua unamkuta mama mkwe anakuambia anamuhitaji mwanae mwanae anaenda kuongea na mama yake anakuja kukuanga.

Mume:mke wangu naenda kwa mama chumbani kwakwe kupaka dawa

Mke:dawa??

Mume;ndio dawa mama anaenda kunipaka

Mke;sehemu gani kwani dawa unapakwa na kwanini mama ndio akupaka

Mume;mama ndio kaenda kwa mgaga kanikuta ninamataizo kaambiwa anipake dawa mwili mzima
.
Mke:mwili mzima??khaa sasa kwabnini nisikupake mie mkeo abaye ninahaki zote za kukuhudumia mume wangu jamani

Mume;ndio hivyoo mkeo wangu..

Huyo anatoka mda wa saa nane usiku anaenda chumbani kwa mama yake kavaa kibukta anakaa huko mpaka saa kumi kasoro anarudi ndani jamani..

Je ingekuwa ww ungefanyaje hapo?????

[/h]
 
Naumia na kusali kukemea mapepo yote na mawazo ya waganga in Jesus' name!
 
kule kwenye facebook wewe ndo uliiweka? I mean Wewe ndo mhusika au umeiba story ya watu?........... maana kama sio muhusika, na kama hii story ya kweli na umeibeba hujamtendea haki dada wa watu.....

Usiku mwema
 
Imekutokea wewe? Inaonekana wahusika wanaamini mambo.ya kishetani kwanini mke wake hakushituka kuhusu mganga?
 
duh, siwezi hata mpigia picha mama wa mshkaji na mwanae. Ni kuwavunjia heshima wote wawili.

Niko nje ya hapa.
 
duh, siwezi hata mpigia picha mama wa mshkaji na mwanae. Ni kuwavunjia heshima wote wawili.

Niko nje ya hapa.

ingia ndani Kongosho, imagine mbaba labda 30's anaenda kupakwa dawa...... I hope hawakuishia kupakana dawa......maana washirikina wana mambo mengi ya ajabu
 
Last edited by a moderator:
Stori kama hizi napata taabu kuushirikisha ubongo wangu..
By the way nafanya kupita tu...
 
Umelala na mumeo ndani usiku kama saa saba mlango unagogwa kwenda kufungua unamkuta mama mkwe anakuambia anamuhitaji mwanae mwanae anaenda kuongea na mama yake anakuja kukuanga.

Mume:mke wangu naenda kwa mama chumbani kwakwe kupaka dawa

Mke:dawa??

Mume;ndio dawa mama anaenda kunipaka

Mke;sehemu gani kwani dawa unapakwa na kwanini mama ndio akupaka

Mume;mama ndio kaenda kwa mgaga kanikuta ninamataizo kaambiwa anipake dawa mwili mzima
.
Mke:mwili mzima??khaa sasa kwabnini nisikupake mie mkeo abaye ninahaki zote za kukuhudumia mume wangu jamani

Mume;ndio hivyoo mkeo wangu..

Huyo anatoka mda wa saa nane usiku anaenda chumbani kwa mama yake kavaa kibukta anakaa huko mpaka saa kumi kasoro anarudi ndani jamani..

Je ingekuwa ww ungefanyaje hapo?????

Ukiwa mwongo inatakiwa uwe na kumbukumbu za hali ya juu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom