Mkapa, Salim waenda Botswana kumzika Masire

Achana nao Simple minds ndo wapo hivyo. By the way hawafahamu historia ya huyu baba na jinsi alivyoifanya Botswana kuwa nchi ya heshima na tajiri. For your Information huyu mzee aliwachukua wasomi wa TZ waliokuiwa wamechoka na siasa za bongo na ndo wameifanya nchi ile iwe kama ilivyo wakati sisi tumebaki na siasa zetu.

You said it all
 
Ni kweli lakini si kwa mnafiki kama Mkapa kuiwakilisha Tanzania
 
Wamefanya vema kutuwakilisha huko. bila shaka ni wamejipapasa mifuko yao kwa ajili ya safari hiyo na sio pesa za serikali
 
Ni kweli lakini si kwa mnafiki kama Mkapa kuiwakilisha Tanzania
Tatizo si Makonde, tatizo ni cha Pombe sababu Tuna Waziri wa mambo ya nje mzuri tu angeongozana na mzee Salim Ahamed Salim ingekuwa safi. Alitaka Rais mstaafu lakini mbona mzee Mwinyi angefaa tu? Hawa wawili ni ndege wenye ....... malizia msemo.
 
Sizonje hata haelewii mambo ya diplomasia!! Kwanza umtajie hilo jina Masire atasema atasema kuna ri nchi huko kusini rimeendereaa rinaitwa masire......haelewi lolote!! Sadam wa Kuwait
Political engineers(HKL, HGK, HGL), social engineers (HKL,HGK,HGL)...kaazi kwelikweli, hii nchi tutafika tu
 
Hoja dhaifu sana ! Kwani Kikwete na Mwinyi siyo wastaafu ?

Huyu kipindi chake kimeisha apumzike .
Kumbuka kuwa katika utawala wa awamu ya kwanza Mkapa alikuwa waziri wa mambo ya nchi za nje kwa miaka mingi na hii ilimfanya kumkua Masire personally.
 
Kumbuka kuwa katika utawala wa awamu ya kwanza Mkapa alikuwa waziri wa mambo ya nchi za nje kwa miaka mingi na hii ilimfanya kumkua Masire personally.
Nafahamu , lakini pamoja na kutoa sana tongotongo mbona bado Mkapa ana mambo ya kishamba sana ?
 
Mkapa hana sifa ya kwenda huko, kutokana na matusi yake kipindi cha uchaguzi 2015. Afadhali aengeenda Dr. Mwaka
 
Back
Top Bottom